Nimepotelewa Bibi Yangu

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,886
1,194
Wadau wa JF napenda kuwafahamisha kwamba bibi yangu mwenye umri wa takribani miaka 78 amepotelea maeneo ya KAWE leo saa 11 jioni alipokuwa akienda kwa mjukuu wake anayeishi maeneo hayo. Bibi mwenyewe ni mrefu, maji ya kunde Msukuma kutoka wilayani Bunda. Mdau yeyote (hasa wa maeneo ya kawe) atakayemuona atujulishe kwa namba za simu zifuatazo:- 0714684191, 0767444676, 0718137986 na 0767137986. NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWA MSAADA WENU.
 
Wadau, nafurahi kuwafahamisha kwamba BIBI amepatikana asubuhi hii huko huko maeneo ya Kawe akiwa salama salimini. Nawashukuru sana kwa maombi yenu yaliyopelekea kupatikana kwake.
 
Back
Top Bottom