CCM Arusha Bado ipo hai ???

Nagoya

Member
Oct 9, 2011
95
23
Kutokana kambi ya Mh Batilda Buriani iliyokuwa ikisaidiwa na Mh. Lowassa kuisambaratisha kambi ya aliyekuwa mbunge wa kipindi kilichopita Mh. Felix Mrema, CCM Arusha inaonyesha kutokuwa na nguvu tena.

Mambo yafuatayo ndio chanzo cha kuishiwa nguvu CCM Arusha.

1. Ukabila- Uchaga na Umasai
2. Pesa - Kati ya kambi hizi mbili (Lowassa v/s Felix Mrema)
3. Kukomoana- Bora wao wakose Chadema ichukue

Kenye picha ni baadhi ya wapiga debe wa kambi ya Mh. Edward Lowassa na Batilda Buriani.
 

Attachments

  • Violet Mfuko Kada wa CCM Arusha.JPG
    Violet Mfuko Kada wa CCM Arusha.JPG
    101.9 KB · Views: 66
Sababu nyingine ni kukosekana kwa mfadhili wao mwingine aliyeko Gerezani Dar kwa Kesi ya Kusafirisha Viumbe Wenzake.
 
Back
Top Bottom