Hii operation inayoendeshwa na jeshi la polisi juu ya uvamizi wa viwanja huko maeneo ya madale limezua jipya baada ya kuonekana kuwa kuna raia wa kutoka kenya wakijihusisha na uvamizi wa viwanja...
Nahisi ni ubadhilifu 2 wa fedha za umma. Kwanini hawa wajumbe wa nyumba 10 kushirikiana na serikali za mitaa kufanya kazi ya sensa kwa kuwa wako karibu zaidi na wananchi wa mtaa wao zaidi kuliko...
Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
Tuesday, February 10, 2009 11:27 PM
MMEA wa zao la mbuyu unatakiwa kuzalishwa kwa wingi nchini kutokana na kugundulika kwa kutoa...
kiongozi mwenye msimamo anayesikilizwa na waislam wengi Tanzania sheikh Ponda issa Ponda amesisitiza msimamo wa waislam upo pale pale hatutashiriki sensa. source Taarifa ya habari Chanel ten.
Habari za asubuhi wanajamvi.
Tokea juzi usiku (jumamosi) saa tano internet connection ya tigo ilipotea kabisa mpaka sasa hivi navyopost (jumatatu 7.35am) bila ya taarifa yoyote ile.
Hili tatizo...
kuna taarifa tumepata makarani wa sensa wanadai rushwa ili uhesabiwe'jamani rushwa mpaka kwenye sensa tutafika?
Tunaomba serikali ya ccm imulike hilo na kuchuka hatua
13 July 2012
Rushyd Ahmed
SERIKALI ya Zanzibar inakusudia kuanzisha Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji. Waziri wa Maji, Ardhi, Makazi na Nishati, Ramadhani Abdallah Shaaban, ameliambia Baraza...
Taarifa ambayo imenifikia muda huu kutoka huko nchini Sudan jimbo la Darfur.Kuwa askari wawili wa jeshi la wananchi wa Tanzania wamekufa kwa kuzolewa na maji wakati wakivuka mto kwa kifaru na gari...
Jana(tarehe 24/08/2012 ilikuwa siku ya mazishi ya marehemu Fr.Francis Mketa wa shirika la Roho Mtakatifu(Holy Ghost Fathers) -Usa River.
Padre huyu alifanya kazi maeneo mengi jimboni...
Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Kikwete amewataka Watanzania wote kutimiza wajibu wao wa kujitokeza kuhesabiwa leo kutokana na Sensa ya mwaka 2012 kuwa na umuhimu wa aina yake na tusipofanya...
Nimepata habari za kuaminika kutoka kwa rafiki yangu ambaye naye ni karani wa sensa hapa DSM kuwa yule kiongozi wao aliyeonekana kupitia tv mbalimbali(kijana mnene mweupe hv) akisisitiza serikali...
sioni sababu ya chadema na ccm kulumbana kila siku. Malumbano yatakwenda mwisho wa siku kila mtu unyamaza.wanasiasa watanzania tatizo maneno mengi vitendo vichache. ila itafika kipindi watanzania...
Wakuu, leo nimesikia news ambazo zimenipa kichefuchefu kwa kweli na kama ni za kweli basi hii nchi imejaa watu wezi na wanaiba kuliko tujuavyo huko serikalini. Kuna wahasibu wawili ndugu zangu...
Wana JF kwa kuzingatia yanayojiri kuhusu mipaka ya ziwa Nyasa kwamba wao wanadai kumiliki 100% ya ziwa naomba kwa wale wenye taarifa watupatie mipaka ya ziwa Tanganyika/Victoria. Katika maziwa...
Ukistaajabu ya Musa...,Mkuu wa uhamiaji ambaye ni naibu kamishna mkoa wa Mara,
Siku ya ijumaa alizua tafrani ktk ofisi ya mkoa wake baada ya kutoa kisu na bisibisi
kumshambulia askari wake kwa...
kweli tembea uone,huku maeneo ya inyonga wilaya mpya ya mkoa wa katavi,kuna watu wamewa hadaa wananchi kuwa zoezi la sensa ni agizo toka kwa fremanson!na majina yote yanayoorodheshwa yatapelekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.