Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kundi maarufu la sanaa la Serengeti Art group la Arusha limehamia CHADEMA.Awali kundi hili lilikuwa chini ya ccm,lina jumla ya wanakikundi 49,ambao kati yao 40 watu wazima wanachama wa ccm,na 9 ni...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
umanne, Agosti 21, 2012 05:38 Na Mwandishi Wetu, Mafinga *Mbunge naye kufanya ziara kijijini MKUU wa Wilaya ya Mufindi, Evalista Kalalu amewataka viongozi wa kijiji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ijumaa, Agosti 24, 2012 05:39 Na Pendo Fundisha, Mbeya UTUMIAJI wa dawa za asili kwa wajawazito ni moja ya changamoto inayosababisha watoto kuzaliwa na mtindio wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hebu kina, massawe, kimario, mushi, mosha,mwasha na Moshi mnijuze kwa nini misiba yenu mnapenda mipango ifanyie eneo la bar? Sikiliza itv, redio one na utashangaa, wachagga wa massama,au mamba au...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Thursday, 23 August 2012 21:04 Na Mwandishi wetu, Mbeya SABABU kadhaa zimetajwa za wanawake wengi kudhulumiwa haki zao wanapofiwa na waume.Mojawapo ya sababu hizi zimedaiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJf nahitaji kujua ni kwa nini Stamp duty zinazotumika Katika nchi hii zina jina TANGANYIKA na hii ni tangia enzi hizo? Please sababu ni nini?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
DC wa kibaha Halima kihemba jana mchana ktka kutembelea maeneo yao ya sensa huko wilayani kibaha vijiji mlandazi, mwalimu huyo kama karani mwandamizi alichelewa kufika eneo la kuhesabia kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa mujibu wa headline ya TBC, kuna ajali ya ndege imetokea katika mbuga ya masaai mara nchini kenya. mwenye taarifa zaidi atujuze.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Taarifa ya kurejea kwa huduma ya rada katika uwanja wa JNIA, Dar es Salaam 23/08/2012 0 Comments TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Dar es Salaam...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zangu naombeni kufamamishwa kama kuna taasisi zinazosomesha au kusaidia wanafunzi ambao wanatoka ktk familia masikini au wale amabo wameondokewa na wazazi wao wote( yatima) na hawana msaada...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aliyekuwa Waziri mkuu wa Ethiopia, mar. Meles Zenawi atazikwa tarehe 02 Sept 2012, limeripori shirika la habari la AFP. source DW.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nikiwa nimefungulia radio free africa( rfa) kipindi cha watanzania tuongee magazeti, asbuhi saa 12 na 30, niliweza kusikia kwamba leo tarehe 24/08/2012. Kamanda wa polisi suleiman kova ataongea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo gazeti La Mwananchi lina habari yenye kichwa cha habari: "Mfugaji amshambulia Mwananchi na kumjeruhi" Kilichotokea ni kuwa huyu mwenye mifugo(Mfugaji) aliingiza mifugo yake kwenye bustani ya...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Hapa jiji arusha kwa sasa karibia kila mtaa kumeanzishwa pub na zingine hazina vyoo, je watoa leseni wa uanzishwaji wa pub hizo wanazingatia sheria na viwango vya kuidhinisha ufunguaji huo wa pub...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wanajamii, Kumekuwa na upotoshaji wa "Kijinga na wa kupumbaza wasio na elimu" kuwa Marando Mwanasheria wa CHADEMA anatetea Mafisadi baada ya kumtetea Prof Mahalu. Hoja yangu ni kuwa, hao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau mm naomba tu kufahamishwa umuhimu wa hili tamasha kufanyika kila mwaka, na kama hawa clouds media wanahaki peke yao kuendesha tamasha hili na je kwa tathmini ya haraka haraka wanaweza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Masaki kuna jengo moja kubwa linajengwa ghorofa 7, kibao cha client mwanzo kiliandikwa JK, wiki mbili sasa kimebadirishwa kinasomeka MRISHO. Ni Mrisho Mpoto au? tunaomba msaada kutoka kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi sasa tupo kwenye m4c tukiamini waandishi wa habari ndio nguzo pekee katika kulifanikisha hili lakini Kilimanjaro hali sio hivyo mmekuwa ni watu wa majungu,fitna,kazi kubwa ni kuaibishana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Asalamu Alaykum. Naomba nilete hii makala muisome muone jinsi maradhi yanavyowatesa viumbe wa Mungu, Mwenyeenzi Mungu Mkubwa mtoto anateseka anasikitisha na kuhuzunisha na huwezi kutupa jicho mara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi jana kiliwaita Marais wote wa vyuo kwenye ofisi ya makao makuu ya kuzuia Rushwa na kuwaahidi vitu mbalimbali ikiwemo kazi wakimaliza masomo yao kwa masharti ya kuhamasisha...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom