Mwenyekiti wa BAWACHA Jimbo la Lushoto apatwa na msiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti wa BAWACHA Jimbo la Lushoto apatwa na msiba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TEMILUGODA, Aug 26, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wadau wa Chadema jimbo la Lushoto na Tanzania kwa ujumla hususani Wanawake na viongozi wa BAWACHA napenda kuwapa pole kwa msiba ambao umempata mwenyekiti wa BAWACHA JIMBO LA LUSHOTO BI.ZALIHINA SALIMU.AMEFIWA NA Kijana wake usiku wa kuamkia leo huko kijijini kwao Kihitu kata ya Ngwelo.KIJANA HUYO ANAITWA SALIMU HIZA.KWa atakayependa kutoa pole kwa mama huyu awasiliane kwa namba ya simu yake 0783334974 au kwa viongozi wa CDM [W].TOGETHER WE CAN,SHALL NEVER WALK ALONE[V]. NAWASILISHA.
   
 2. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. RIP Salimu Hiza na pole sana mama na ndugu, jamaa na marafiki
   
 3. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Pole hii ni kubwa sana na itafikishwa kwa walengwa.
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Poleni sana wafiwa,R.I.P SALIMU
   
 5. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Polen wanalusho bwana awape nguvu kwenye kipindi hiki kigumu
   
 6. ruhi

  ruhi JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,409
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  Twapaswa kushukuru kwa kila kazi ya BWANA,"BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA"
   
Loading...