Notoa malaliko kwa herufi kubwa kwa tigo wameniwekea wimbo wa kwaya wa hapo juu. Mimi si muumini wa nyimbo hizo na hata kama kwa kutojua nikajiunganisha sio neno. Nimekwenda kwa mawakala wa tigo wa j m mall, quality centre na hata mlimani city kuwaomba waondoshe, wananijibu wameondosha lkn bado unaendelea.
Tigo acheni ujinga huu, na biashara ya kulazimishana,
Tigo acheni ujinga huu, na biashara ya kulazimishana,