Polisi akutwa amejinyonga kituoni!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi akutwa amejinyonga kituoni!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gumzomatata, Sep 26, 2012.

 1. g

  gumzomatata Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ASKARI polisi mwenye cheo cha koplo, Mlima Mnyasi ‘Katafunua' wa Kituo cha Kilwa Road Mkoa wa Kipolisi wa Temeke jijini Dar, hivi karibuni alikutwa amejinyonga hadi kufa katika lori la polisi lililopo kituoni hapo.

  Mnyasi mwenye namba C.8909 alikutwa na askari mwenzake Septemba 16, mwaka huu, majira ya asubuhi akiwa amejinyonga kwa kutumia kamba za viatu huku chanzo cha kifo chake kikidaiwa ni kukaa kazini muda mrefu bila ya kupandishwa cheo.

  Kwa mujibu wa chanzo cha habari ndani ya jeshi hilo, Koplo Mnyasi kabla ya kifo chake alikuwa akinung'unika mara kwa mara juu ya suala hilo huku akishuhudia wenzake alioanza nao kazi wakipandishwa vyeo.

  "Kila mtu anasema lake lakini mimi nakwambia huyu amejinyonga baada ya kuona wenzake wanapandishwa vyeo, yeye yuko pale pale. Hivi karibuni baadhi ya polisi walipelekwa katika vyuo mbalimbali vya polisi kikiwemo kile kilichopo Zanzibar. Koplo Mnyasi naye alichukua begi lake akiamini jina lake limo katika orodha ya askari waliopendekezwa. Alipofika kule, akaambiwa jina lake halimo. Alishangaa sana na ndipo alipochukua begi lake na kurejea kwenye kituo chake cha kazi
   
 2. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  So bora Angelikuwa kamuhanda?
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Masikini...
   
 4. P

  Pipitamu Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akili mukichwa!
   
 5. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Je alikuwa na sifa za kumfanya apande cheo?Kama ndio kafanya kosa kubwa sana kujiua angewaua wote waliomzibia ndio nae ajiue.pole kwa familia yake.
   
Loading...