Ni dhahiri sasa kuwa huu ni mgawo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni dhahiri sasa kuwa huu ni mgawo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng'wanangwa, Sep 26, 2012.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Tanesco wamekuwa na spin nyingi sana za matengenezo. Leo wametutangazia kutakuwa na ukosef wa umeme ilala kuanzia saa 3 had saa 11 tar 27 mwez 9. pia wametangaza kinondoni watakosa umeme tar 28 mwez 9 kuanzia saa 2 had saa 12. nafkir kuna mgawo na umeratibiwa vema kwa ushirikiano wa tanesko na TMA. eti kuna el ninyo. Na hawa tanesko ndo wamekuwa wakikata umeme kwa kisingizio cha matengenezo kupisha eln ninyo. hamna el ninyo wala el nyonyo. Leo bado sku nne tu mwez wa kumi uanze na akuna ata dalili ya mvua. Tanesco wastuchezee akili. Tangazeni ka kuna mgawo 2juwe moja.
   
 2. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Hakuna kuuma maneno, ni mgawo!
   
 3. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  TaneSiko mnawaonea bure bandugu! Muulizeni Prof.

  Time is the best advocate!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Prof. alisema hatutakaa tupate mgawo wa umeme tena. Maana mgawo uliokuwepo ulikuwa wa kupangwa. Nadhani kama kuna mgawo itabidi atuambie kama na yeye kaamua kutupangia mgawo kwa utashi wake tuu. Inavyoonekana siku hizi anamuomba Mungu awahishe mvua ili asiumbuke. Maana nakumbuka kuna mwingine alisema mgawo hauepukiki, akashambuliwa kama mpira wa kona. Kwa hiyo nadhani kwa dalili hizi tayari watanzania wameshaanza kujua nani alikuwa sahihi, Prof. au yule mwingine???
   
 5. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Huku kwetu wamekata umeme kuanzia saa moja hadi mda huu, sijui ni matengenezo gani hayo usiku wote huu..
   
 6. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,287
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  na tangazo lao wanalotoa kila siku eti hakuna mgao, yaani wanatia kifechufechu...!!!
   
Loading...