Hivi Lema alihutubia tarehe 25/09/2012

Joan Joel333

Member
Sep 13, 2012
22
1

ni swali ambalo najiuliza kila saa nakosa jibu kwani nisingekuwa member wa jf nisingejua kwamba lema alihutubia jana.kina chonishangaza ni kwamba

cjackia taaarifa yoyote kwenya tv huhusus hilo hiv ndio waandishi hawakuona pointi yoyote kwa lema au ndio kusema walihongwa wasripot chochote kuhusu lema
.


kama ni hujuma zimefanywa na waandishi wa habari zitashindwa kwani tayari wanamkubali kuliko wanavyodhani


[pia wadau labda ni mm ckuona kitu lakin cjaona ebu nihabarisheni] au nyie mmeona?




tbc1/ccm/ haikubaliki.............tushirikiane ekuitokomeza
 
aligonga mzigo kama kawa,unajua watu wa arusha nawafananisha na nchi zilizoendelea,wanajua wanafanya nini na kwa nini.
 
Tanzania ni zaidi ya uijuavyo, walishachimbwa biti hao jamaa. Ndo maana kila mara nashauri kianzishwe chombo cha habari cha Nguvu ya Umma ndo tutakuwa tunapata habari hizi!!!!!
 
Ni kweli kamanda, kuna haja ya kuanzisha chombo cha habari cha CDM, hawa wengine inaonekana wameshatembelewa na magamba mtoa roho na kuambiwa watafikishwa msitu wa pande mara moja wakikaidi amri ya magamba.
 
Kwahiyo watangaze jinsi mke wa Lema alivyojifungua? Hilo halina faida kwa taifa.
 
Back
Top Bottom