mashindano ya SHIMIWI kwa faida ya nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mashindano ya SHIMIWI kwa faida ya nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Geza Ulole, Sep 26, 2012.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 3,996
  Trophy Points: 280
  Hivi wajameni yale mashindano ya SHIMIWI yanayotumia fedha nyingi kusafirisha timu toka wizara usika kwenda kushiriki michezo mikoa mingine yana faida gani? Naomba kujua maana naona kama ni njia fulani ya ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali za taifa ukizingatia zinadaiwa kuwa finyu. Ni kwanini basi rasilimali hizo zisielekezwe katika kutengeneza ajira kwa vijana kwa kuwaaandaa wale wa mashuleni na mitaani wakiwa wadogo na kutoa fursa ya uwezekano wa kupata ajira hapo baadae ukizingatia kimichezo tupo nyuma sana! kwanini rasilimali hizo zisitumike kutengeneza kambi ya wanariadha au mchezo wa soka au basketiball au hata hata netball?

  Hivi Pinda anafikiri haya kweli au ndo ile dhana ya kuwa unakula kwa urefu wa kamba yako yaani yule aliyekaribu na hazina hukarimiwa zaidi? Kwangu mimi binafsi sioni faida ya kumkirimu wazee wetu katika wizara wakati wanaweza kufanya michezo bila ya kuingia katika matumizi mabaya ya fedha zinazosemekana ni kidogo na bila ya kuwa na matarajio yeyote kutokana na michezo hiyo yaani kama kutengeneza ajira.
   
 2. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa faida ya wachezaji na mabosi wanaotaka kutembea na ma Ps wao kwa kuwapeleka nje ya eneo mbali na waume zao ili wakawale uroda!Maana hata ukifuatilia wengi ni kinadada ma Ps wafagia ofisi,mamesenja na alikes ndo wanaenda huko kisha utakuta vidume vinawafuata hukohuko walipokwenda!!!Hata hivyo naomba kumpongeza yule jamaa wa aliyetengeneza movi maarufu uliyochanganya wakina ponda potepote...walipo maana imeonesha ukweli kwa kiasi kikubwa kwamba jamaandivyo walivyo maana wamefanya vurugu tofauti na mafundisho yanavyowataka na kumpa umaarufu mtengenezaji
   
 3. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  kujenga afya,kuendeleza mshikamano baina ya watumishi wa umma
   
 4. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Michezo ni afya popote duniani

  tuache kutafuta wachawi kutokana na kukosa nidhamu kwetu wenyewe........... taifa lisilo na michezo kama kipaumbele ni taifa lisilo na nidhamu
   
 5. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  wewe sio mzima wa akili,maana hayo mawazo yako ya kungonoka tu si mazuri
  hakuna mtumishi asiependa kusafiri maana ndo viehela vinapopatikana hapo
  alafu safiri kama hizi watu wa kada za chini wanazipenda sababu mishahara yenyewe ni midogo sana
   
 6. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  acha wivu wewe nani alikutuma usiwe mtumishi wa umma ,acha wenzio wale usilete habari zako za m4c kwenye utumishi wa umma
   
 7. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,550
  Likes Received: 1,600
  Trophy Points: 280
  mmh ....

  michezo + ngono = mahusiano - (matumizi ya fedha na umuhimu wa kazi)
   
Loading...