maisha yanazidi kuwa magumu kila siku kwa wananchi hasa sisi tulio na elimu duni na kipato kidogo,kiukweli nimeangaikia sana maisha lakini nazidi kukatika mtaji ingawa ulikuwa mdogo ila sasa...
Kitabu cha lazima kwa Walimu, Watunga sera , Waandishi wa vitabu, Wahariri na Wanaithibati.
Lipi ni jina sahihi la chombo kinachosimamia maendeleo katika kata? Je, ni KAMATI YA MAENDELEO YA KATA...
Wahenga walinena, "akili ni nywele, kila mtu ana zake" nimekuwa nikisoma somo la History takriban miaka sita (yaani tangu 4m one mpaka 4m6) kuna nadharia mbalimbali nilizokutana nazo zilizo wekwa...
Wadau katika kauli nazichukha mimi binafsi ni hii, utakuta mjadala mzuri unaendelea . Watu wanachangia mambo mazuri lakini utashangaa kipindi kinafungwa eti muda umeisha zaidi ya hapo wanaweka tv...
Jamani leo ni bajeti ya Wizara ya aridhi, nyumba na maendeleo ya makazi,nimekaa kusikiliza michango ya waheshimiwa mbalimbali juu ya bajeti hii,wengi wao wanaisisitizia serikali kupima viwanja...
Kuna gazeti liliripoti miezi michache iliyopita kuwa Mzee Mukama ameamua kutunza heshima yake kwa kujiengua nafasi yake hapo NEC itakapokaa baaade mwaka huu, habari ile ilipingwa sana ila baada ya...
Wanajf, Kumbukumbu hazijakaa vizuri, lakini nikidhani huyu jamaa miaka ya 2006 or so, alipatwa na mkasa wa 'stroke', kisha akawa comatose. toka hapo sijajua kama alirudi ktk hali ya kawaida ama...
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (CNS) amepandishwa cheo kuwa Lt Gen na kupanda madaraka kuwa Mnadhimu wa Jeshi kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Lt Gen AA Shimbo.
Sintasahau siku yangu ya kwanza kumfahamu Mtikila!Ilikuwa hivi;Nilipanda basi kutokea G/mboto kueleke posta, kufika tazara trafic police akatusimamisha kwa madai kwamba gari ni mbovu iende kituoni...
Jamaa anajiita salama jabir/sina hakika kama ndiye mwenyewe kama anavojitambulisha,anadai ana huduma ya tigo mixshare(kwa wateja wa yigo tu) ambayo hulipiwa 3500 kwenda no. Wanayoitoa ambayo...
Wanafunzi wa sekondari ya Iliboru wanaandamana.
Wametoka shuleni mpaka ofisi za mkuu wa mkoa Arusha mjini. Wamefukuzwa na Polisi wamerudi mpaka geti Kuu la Kuingia AICC na kuna polisi wakutosha...
dugu wanajukwaa, ardhi kwa Tanzania ni mali ya umma (yetu sote) na ipo chini ya usimamizi wa Rais. Mtu akipatiwa kipande cha ardhi, anapata haki ya kukitumia kwa muda usiozidi miaka 99. Nionavyo...
Ndugu zangu,
Leo jioni nilifunga safari kwenda kumwona mjane wa marehemu Daud Mwangosi. Anakoishi ni maeneo ya Mwanyingo hapa Iringa.
Mjane amerudi juzi jioni kutoka msibani Tukuyu. Itika...
Wadau , kuna kitu kinaendelea hapa tz. Nahisi kwa mtazamo wangu kitajaleta madhara, kuna mambo kadhaa yanatokea na ukiangalia undani wake ni ya msingi lakini viongozi wetu kuanzia shina mpaka juu...
Madenti wa5 wa chuo kikuu kimoja hapa nchini walikuwa wanatakiwa wafanye mtihani siku inayofuata. Bahati mbaya wakanywa pombe mpaka mida mibaya na hivyo wasingeweza kufanya mtihani huo kesho...
Huwa nikobored pindi nisomapo gazeti na kukuta maneno haya
mtuhumiwa huyo...(jina tumelihifadhi)
ambaye anamiliki kampuni iitwayo..(jina tumelihifadha)
then baada ya majuma kadhaa...
Ndugu wana JF, natoa wito kwa wanatunduru wote mahali mlipo twende tunduru tukaiokoe Tunduru na kuirudishia heshima yake؛‎ Tazama matukio haya yatokeapo wenzetu wanapopatwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.