Lema ampa mtoto wake jina M4c

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Aliyekuwa mbunge Arusha mjini Godbles Lema ameushangaza umma hapo jana alipowaambia wananchi kuwa mkewe amejifungua mtoto wa kiume na amempa jina m4c
 
It is no news ni mwana mapinduzi na ana imani hiyo ni sawa hakuna kushangaa
 
Mie sijaelewa naomba ufafanuzi. Kwa hio mtoto ataitwa 'em fo sii' ama 'movement for change'?
 
I hope amejihakikishia kuwa hatakaa ahame chadema. La sivyo atajiandikia historia kwa herufi kubwa.
Kakangu alibatizwa Che Guevara pia.
 
si kuna mbunge wa CHADEMA nae alimwita mwanae Chachage in
honour of the late professor, ni nzuri
 
Ana haki kumwita hivyo, kwani alivyopoteza ubunge aliendesha maisha yake kwa kupitia pesa za m4c mpaka alipoenguliwa kiaina baada ya kudokoa na kutokabidhi pesa alizopewa uk & usa. Sasa haruhusiwi kwenye m4c karudi arusha
 
Jana kaipa promo JF kinoma.
Na ID yake ni ipi maana kasema ameandika waraka humu wa kufa mtu.
Mimi sijauona.
 
I hope amejihakikishia kuwa hatakaa ahame chadema. La sivyo atajiandikia historia kwa herufi kubwa.
Kakangu alibatizwa Che Guevara pia.
King'asti! Nakubaliana nawe, nadhani jina ambalo lingemfaa ni Che Guevara. Che Guevara alikuwa mwanamapinduzi wa kimataifa kuliko kuwa na dhana ndogo ya chama cha siasa.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Aliyekuwa mbunge Arusha mjini Godbles Lema ameushangaza umma hapo jana alipowaambia wananchi kuwa mkewe amejifungua mtoto wa kiume na amempa jina m4c

He's just joking. Hizo ndo chachandu za politics. Ukitaka kuzipata za dizaini hii fuatilia vijembe vya Vincent Nyerere, utafrai.
 
"Emfosii"?..."Emfosii Godbless Lema"......mmmmmh....may be!
 
Mie sijaelewa naomba ufafanuzi. Kwa hio mtoto ataitwa 'em fo sii' ama 'movement for change'?
Nafikiri itakuwa "em fo sii" Kama vile "Ufoo Saro wa ITV". Kwa hawa ndugu zetu wa Kilimanjaro hilo jina ni zuri tu,usiliangalie kwa Itikadi ya Chama.
Au Yule ndugu yetu Maratooooo wa Aiiiii Tiiiiii Viiiiiiiiii.
 
King'asti! Nakubaliana nawe, nadhani jina ambalo lingemfaa ni Che Guevara. Che Guevara alikuwa mwanamapinduzi wa kimataifa kuliko kuwa na dhana ndogo ya chama cha siasa.

Bazazi!
Are you serious?
Kwamba dhana ya chama cha siasa ya kuleta mapinduzi ndi DHANA NDOGO kuliko mtu aliyekuwa nyumba ya mapinduzi?

I mean.....C'on!
 
ni jina zuri lenye taswira ya mchakamchaka tunaoenda nao wa mabadiliko ya kweli kwa kizazi hiki lakini kwa manufaa makubwa kwa kizazi cha baadae. Ita a great name of the decade.
 
Are you serious?
Kwamba dhana ya chama cha siasa ya kuleta mapinduzi ndi DHANA NDOGO kuliko mtu aliyekuwa nyumba ya mapinduzi?

I mean.....C'on!

Mtizamo wangu kwani Che Guevara alishiriki mapinduzi katika nchi za Cuba, Bolivia na DRC hivyo alikuwa na dhana ya kimataifa lakini M4C ni ya kichama zaidi. Huo ndio mtizamo wangu.

Iff (if & only if) am wrong, Nielimishe!

Bazazi!
 
Kwa hapo sikubaliani na wewe. Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Usione kama chadema si mali kitu. Kwa kuaminiwa na wachache m4c itasimama na kufika waliko wenzetu. I can imagine watoto waliokuwa wanacheza na Che walivyokuwa wanamuona wa kawaida tu! Lakini sasa ni historia. Acha amuite, lakini asije akakengeuka am'batize mwanae uzeeni!
King'asti! Nakubaliana nawe, nadhani jina ambalo lingemfaa ni Che Guevara. Che Guevara alikuwa mwanamapinduzi wa kimataifa kuliko kuwa na dhana ndogo ya chama cha siasa.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom