Ubinafsi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubinafsi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Clarity, Sep 26, 2012.

 1. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  Nilikuwa kilosa kuhudhuria mazishi ya baba wa rafiki yangu,nilichokiona makaburini wakati mazishi yakiendelea ni eneo lenye wigo huku likiwa na kaburi moja tu,nikauliza kama hapo penye wigo ni chifu nikajibiwa hilo eneo Mheshimiwa Mustafa Mkulo amejitengea

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Wapi huo wigo? Mim sijaona kitu zaidi ya makaburi tu hapo
   
 3. N

  NKANOELI JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wewe huoni hizo nguzo fupi zimetengeneza wigo/demarkation ?
   
 4. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Sioni kama hilo ni tatizo, kwa vijijini ni jambo la kawaida, mbona watu wanashikilia maeneo ya kujenga nyumba zao? Kuna ajabu gani mtu akijitengea eneo lake la kuzikia/kuzikiwa? Kinachotakiwa asisababishe kuvunjika kwa amani au kuleta usumbufu kwa wengine au kuvunja sheria za eneo husika.
   
Loading...