Mwandishi Tanzania Daima afariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwandishi Tanzania Daima afariki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ndiyomkuusana, Sep 26, 2012.

 1. ndiyomkuusana

  ndiyomkuusana JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 616
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #ffffff"][TABLE]
  [TR]
  [TD]na Betty Kangonga


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [TD="width: 140, bgcolor: #ffffff"][​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][TABLE]
  [TR]
  [TD]MWANDISHI wa habari wa gazeti la Tanzania Daima, Agnes Yamo, amefariki jana katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa.
  Agnes alilazwa juzi hospitalini hapo kutokana na matatizo ya kuishiwa damu.
  Akizungumza na gazeti hili jana jijini Dar es Salaam, kaka wa marehemu, Samuel Yamo, alisema mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa kaka yake Buguruni Sokoni katika ghorofa za madaktari.
  Alisema mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa leo kupelekwa mkoani Morogoro ambako mazishi yatafanyika kesho.
  Enzi za uhai wake, Agnes aliwahi kufanya kazi katika kampuni ya New Habari Corporation na baadaye kujiunga na gazeti hili mwaka 2005.
  Baada ya kufanya kazi ya uandishi wa habari kwa miaka kadhaa, alihamishiwa idara ya matangazo ambako alidumu hadi mauti yalipomkuta.
  Akimzungumzia marehemu, Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima, Absalom Kibanda, alisema atakumbukwa kwa mchango mkubwa aliokuwa akiutoa kwa kampuni hadi kulazimika kumhamishia idara ya matangazo.
  “Huu ni msiba mzito uliotukuta, Agnes tumefanya naye kazi kwa muda mrefu katika kampuni hii. Tulijitahidi kuhakikisha tunaokoa uhai wake, lakini hatukufanikiwa. Mwenyezi Mungu amemchukua ili akapumzike,” alisema.


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,581
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  RIP Agness, umemaliza kazi yako duniani!
   
 3. P

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 22,204
  Likes Received: 10,278
  Trophy Points: 280
  RIP Agnes Yamo!.
   
 4. k

  katalina JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye picha yake tafadhali. POLENI!
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,297
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  RIP Agnes
   
 6. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,915
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  katalina

  [​IMG]

  [​IMG]

  Mchezaji wa Kick Boxing wa timu ya Free Media, Bi Agnes Yamo akipambana na mchezaji wa TSN Adam Amon katika michezo ya Bonanza la waandishi wa habari lililofanyika Msasani Beach jijini Dar es salaam​


   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,577
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  R.I.P Agnes, Mungu ailaze mahali pema peponi roho yako.
   
 8. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,704
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  RIP Mwanahabari wetu. Msalimie Daudi Mwangosi. Mnatuachia huzuni juu ya huzuni. Mwe!
   
 9. N

  Nzagamba Yapi Senior Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Alikuwa mzuri aisee!dunia imepoteza binti mkaree!r.i.p

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
Loading...