Naomba kujuzwa - African Barrik Gold | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujuzwa - African Barrik Gold

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Johnsecond, Sep 26, 2012.

 1. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kila siku naona nafasi za kazi kwenye magazeti za hawa watu wanafanyakazi wengi sana?? Maana nadhani kama si hivyo basi wananyanyasa watu na hivyo kila siku watu wanaacha na wao wanaendelea kuajiri. Naona magazeti yananeemeka sana na hawa watu.

  Sababu ni nini?
   
 2. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Mimi sijakuelewa vizuri una omba kujuzwa nini hasa-Kama suala la nafasi za kazi kutangazwa kila wakati hili liko wazi kabisa-
  1.Tambua kuwa watu wanakufa kila siku.
  2.Watu wanazidi kuelimika kila siku wengi wanajua sasa kujiajili ndiyo msingi wa maendeleo yao.
  3.Watu wengi wameathirika na kemikali za migodini hivyo wengi hawana uwezo wa kufanya kazi tena mgodini
  Kwa mambo yote matatu ni lazima kila siku waajiri watu maana wawekezaji nao wanataka kazi zao zifanywe kwa wakati wanaotaka wao wanasema BORA PUNDA AFE ILA MZIGO LAZIMA UFIKE.
   
 3. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  oooh kumbe !
   
 4. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu Johnsecond,
  Kazi nyingi za migodini ni za mikataba. Na kutokana na mazingira ya kazi migodini yalivyo watu wengi hupenda kufanya kazi kwa muda fulani tu kisha huacha na kutafuta kazi nyingine mikataba yao inapoisha. Na hii ni moja ya sababu pia iliyochangia watu wa migodini kukomaa sana na lile suala la marekebisho ya sheria ya hifadhi za jamii ili fao la kujitoa lirudishwe (Mimi pia naunga mkono). Na maelezo yangu yanatokana na uzoefu wangu toka kwa rafiki zangu waliopitia migodini.
   
Loading...