Hiki ndicho wanachojua viongozi wetu wakiwa nje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hiki ndicho wanachojua viongozi wetu wakiwa nje

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Sep 26, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  Rais mtarajiwa mh bernard membe akiwa na rais wa marekani anaemaliza muda wake mh obama
  huko usa
   

  Attached Files:

 2. G

  Gene Senior Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kupiga picha na viongozi wa kitaifa hakuna shida ila na wasanii ndo shida.......hata nyerere alikuwa anafanya hivyo ila si kama j.k wetu mpaka wasanii
   
 3. S

  Starn JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuna kosa gani kupiga picha baada ya mkutano au kabla ya mkutano?
   
 4. B

  Big GM Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera kukutana na mh obama ila usiishie kupiga picha tu,mwuongelee na mambo yanayoweza kutusaidia watanzania kimaendeleo hasa kutupatia fursa za ajira na kutangaza utalii wa tz,obama aje atembelee serengeti nk atuachie madola
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hiyo picha itamuuma sana JK maana alikua ndio awe amepiga pooz hapo...anaweza asimuone obama tena hasa kama asiposhinda uchaguzi november
   
 6. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Hivi watanzania hamjapata somo kwa miaka 10 iliyopita?
  View attachment 66180
  Hawa jamaa mambo yao ndio hayo,hembu cheki na hizi!
  View attachment 66181
  Ni kula bata mwanzo mwisho!
  Mtakoma kuringa,na ole wenu mu wape tena 2015!
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  hahahah kaenda kupiga picha na rais anayemalia muda wake.looser
   
Loading...