Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

News Star Tv zimeonesha majambazi wa5 wameuawa Moshi. Nachelea yasijekuwa mambo km ya Zombe na wafanyabiashara wa madini wa Mahenge kwa sababu: 1. Waliouawa ni wa5 ila wamekutwa na mapanga nane...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Naomba Msaada, Mimi Nina dual SIM card, Ina voda na tigo, iliyo namba moja ni tigo, Lakini Mara nyingi nakuta hela ya voda imeliwa, na vile vile, nikitaka kutuma tigo pesa nikibonyeza nabata MSG...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Pengine wengi awajui nani huyu ali mufuruki ana vyeo vingi kwa ujumla ila ni mmoja wa aliechangia kuua atcl ,,na moja ya mchezo uliomwondoa atcl ni kuuza ndege mbili za atcl ambazo baada ya miezi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Amefariki usiku wa kuamkia leo nchini Ufaransa akiwa kwenye matibabu
0 Reactions
76 Replies
15K Views
Watanzania milioni 7 hawana vyoo Watanzania milioni 6.5 wanalazimika kujisaidia ovyo porini kutokana na kutokuwa na vyoo. Afisa mkuu kitengo cha Afya na Usafi wa Mazingira katika Wizara ya Afya na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hata kama sitopewa na wana Jf nikiwa naishi najua raha jipe mwenyewe ati Happy bday Pdidy,Napenda kushukuru uongozi mzima wa Jf kwa kunilea kunizoea kunifunza na kunitunza pale nilipokosea Napenda...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
Hawa wabunge wa Baraza la wawakilishi kila kukicha wako bize kutuonyesha wao hawataki mambo ya kuharibu mila na desturi zao za kizanzibari haya imekuwaje wameamua kutangaza pombe? Tazama hizi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa gazeti la mwanahalisi limerudi kivingine kwa jina jipya likijulikana kama MWANAHABARI NA LITAKUA MTAANI LEO KWA SHILINGI MIA TANO. KAMA NI KWELI WATAKUA WAMEFANYA KITU KIZURI...
7 Reactions
35 Replies
6K Views
Wana JF naomba mnijuze jinsi ya kusafiri na basi kutoka Dar es Salaam kwenda mkoa mpya wa Katavi.. Pia gharama za nauli.. Au mwenye contacts za mabasi yanayoenda huko na haswa Sumri.. Nimejitahidi...
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Jamaa wanabishana kwenye kipindi cha Jahazi...Kisa ni baada ya waandishi wa habari kuzuiwa kuingia Mahakamani kuripoti kesi ya Mzee Mwinyi...Lugha iliyotumiwa kuwazuia waandishi hao ni "Kesi hii...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nipo mahakama moja ya wilaya hapa tanzania kwa sasa, nimekuja kusainiwa fomu zangu fulani nahitaj sahihi na mhuri wa hakimu, sasa nimetajiwa kiwango fulani cha garama, je ni halali kupata huduma...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Guys kuna ishu hapa imeniboa imebidi leo niisemee makavu laivu...hawa jamaa wa CRDB leo ni siku ya 5 system yao mbovu ya Cardless imeng'ang'ania Pesa yangu hewani..ilikuwa ni siku ya ijumaa last...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari wana JF mlioko hapo Moshi. Taarifa ambazo nimezipta mchana huu ni kuwa majambazi watao 5 wameuwawa na polisi baada ya kuanza kurushiana risasi na polisi. Pia inasadikika kuwa polisi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa hali ya sasa serikali ina zidi kuchefua wanainchi wazalendo na wapendahaki wote dunian, mbaya zaidi wanaojidai kuwa wana shikilia dola wanapoamua KUFANYA lolote bila kujali wenzao.Ivi...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Wakuu Hii tabia naona inakuwa kwa kasi na haikemewi na umma wala jeshi la polisi.Unakuta polisi wa doria wanapaki gari katika bar wanaingia wakiwa na silaha na kula na KUNYWA VILEVI Ni hatari kama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama binadamu wote tulivyo ndivyo na Nyerere alivyokuwa,Biblia inasema wote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu,Nyerere alikuwa na tamaa ya madaraka kwa sababu hakuwa...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Kapumzike kwa Amani Mama Angelka Msaki! Ulitwambia mapema kwamba unayo VITA! Basi Manka maadui zako wamefurahi eti kwa kuona wameshinda! "Kimila" KAMA NI MAPENZI YA MUNGU TUNASEMA AMINA JINA LAKE...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimekua nikiona hulka hii ya kila sikukuu kupika pilau, kukata kachumbari, na lisipopikwa watoto tulikosa raha...je pilau ni chakula cha lazma sikukuu?
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Inasikitisha kuona watanzania tulio wengi tunaishia kulalama kila uchao kuhusu uozo wa viongozi wetu na maamuzi yao ya hovyo lakini tunashindwa kuchukua hatua stahiki. My take: Ni bora mtu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom