Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

sasa ni miezi 3 web ya wizara ya afya hawaja update vile vile haijarusu watu kutoa maon yao kama zilivyo za wizara zingine nyeti hapa tanzania..kama ile ya mikopo www.olas.go.tz na nyingine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JF, ninahisi MEDIA zimezibwa mdomo juu ya kutoa taarifa ya kinachoendelea huko tunduru, hata hivyo, nimedokezwa na mtu mmoja aliyekuwa Namtumbo kuwa kuna kampeni inaendelea kwenye nyumba za ibada...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Inasikitisha kuona mji mkuu wa tanzania hauna stendi kila pakikucha leo hapa kesho pale ni kero kubwa kwa wasafiri na wageni hususani wanaoingia mji huu mkuu wa tanzania lazima uwe na pesa ya tax...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
University girl died after sleeping with a dog…Devil worship? The Kenyan DAILY POSTFeatured Articles03:35 According to Gistpage.com… Uche (her surname withheld) was an Accountancy...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika operesheni safisha jiji inayoendelea yakuwaondoa wamchinga leo maeneo ya stendi hali imebadilika pale mgambo walipojikuta wakipokea kichapo toka kwa wamachinga walikuwa wmejikusanya taruki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huwa ni shi ngapi? Mbona sijawahi kusikia mjumbe au mwenyekiti amejitoa baada ya kuona posho haitoshi? Makubalino huwa yanafanywa muda gani kiasi kwamba kila tume itangazwapo kila mmoja huridhia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mara ya kwanza nilimsikia Sofia Simba akiimba hili tangazo ya Dunia yako.....nikaona huyu kwa hulka yake, linamfaa Baadae nikamsikia Kingwendu....nikajua tangazo limekaa kisanii so nalo...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
nawaombeni sana waandishi wa habari kulichukulia hili swala la kamati ya nchimbi kutaka kufunika ukweli mlichukulie kwa uzito unaostahili lazima kuandamana na kulaani kauli ya kamati ya nchimbi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
kama miezi miwili hivi nilishuhudia hili tukio la gari kuzama(Angalia picha). Ilikuwa kama tunaangalia movie vile. Kilichonisikitisha ni kuona kwamba hata wale amabao tunategemea kwamba...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Skin condition ... Latif Khatana cannot get a job due to the flaps of flesh that hang over his face.A FATHER-to-be has spoken for the first time about living with NO FACE - and how he’s terrified...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wakuu mlioko huko hebu tupeni details zaidi maana itv wameeleza briefly.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
  • Closed
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na hatarishi kwa usalama na utendaji kazi wa taifa letu kumekuwapo na influx kubwa ya raia wa nchi jirani kama wafanyakazi katika moja ya taasisi nyeti na kubwa...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Ajali Yaua Wawili Papohapo Dereva wa Bodaboda na abiria wake, ambao hawakuweza kufahamika majina yao kwa haraka, wakiwa wamelazwa pembeni mwa barabara ya Bagamoyo eneo la Makongo, baada ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Napenda kuwapongeza Tanesco songea kwa kuboresha huduma ya umeme mjini hapa kwa kipindi cha miezi minne mfululizo umeme si tatizo tena, hakuna mgao na kama kuna tatizo taarifa hutolewa na huwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi inakuwaje wanaandika kitu ambacho hakipo na hata nashangaa wanapata wapi hizi habari za uongo ati Chadema vurugu tupu Mwanza ati Wenje kibaraka,Mashumbushi agoma na diwani atimkia CCm duuh...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari za asubuhi wadau, Nipo Singida nimepanda Najmunisa naelekea Dar. Kwenye hili basi nimekutana na harufu ya ajabu haieleweki. Mwenye kujua chanzo cha harufu ndani ya basi naomba anijuze.
1 Reactions
46 Replies
4K Views
  • Closed
leo ndio siku ya kusomwa ile ripoti ya kamati ya Nchimbi wenye habari watujuze kuhusiana na hilo:-
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanafunzi wanne wa chuo kikuu cha Port Hacourt (UNIPORT) kilichoko nchini Nigeria, wameuawa kinyama kwa kuchomwa moto wakiwa hai, habari zaidi angalia video hii: www.youtube.com/watch?v=PCU7WwV3zOE
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za hivi punde ni kuwa Baadhi ya wajanja wa Mambo ya ICT katika benki ya NMB Bukoba wameiba sh milioni zaidi ya 60.Kwa sasa benki imwefungwa wakijaribu kuona kama wanawweza kupata fedfha...
1 Reactions
61 Replies
6K Views
Texas Heart Children’s Hospital Yaisaidia Vifaa Vya Tiba Ya Moyo Ya Dr.Ferdinad Masau Heart Institute LEE EVEY MTAALAMU WA MAGONJWA...
7 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom