Ni haki kulipia mhuri mahakaman. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni haki kulipia mhuri mahakaman.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wiseboy, Oct 10, 2012.

 1. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,710
  Likes Received: 1,891
  Trophy Points: 280
  Nipo mahakama moja ya wilaya hapa tanzania kwa sasa, nimekuja kusainiwa fomu zangu fulani nahitaj sahihi na mhuri wa hakimu, sasa nimetajiwa kiwango fulani cha garama, je ni halali kupata huduma kama hii kwa malipo? Au ndo hongo? Mimi nimekubali ila wakimaliza tu nachukua nasepa bila kulipa.
   
 2. mzee wa magumashi

  mzee wa magumashi Senior Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  fanya hivo..wa2 wajinga sna
   
 3. mzee wa magumashi

  mzee wa magumashi Senior Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  mara baada ya kutoka taarifa ya mauaji ya kinyama ya mwandishi wa channel ten daudi mwangosi wa2 wamekuwa maoni tofaut.
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hiyo ni TAKRIMA, wape tu!
   
 5. M

  Msindima JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wambie wakupatie risiti, kama hamna risiti usitoe.
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Ujinga huu si kila kitu cha kuanzishia thread, hiyo wala siyo rushwa hizo ndio allowance za watu wanaofanya kazi Mahakamani wakiwemo Polisi. hivi kutoa Affidavit wakisema wawe serious kwa kuzingatia taratibu za sheria hudhani kama wangeumia wengi? Next time shirikisha ubongo wako kwanza, hata kuona kaburi la Nyerere kuna tozo.
   
 7. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Elfu tano tu kuitoa unaona tabu we *****? Njoo ofisini kwangu nikugongee muhuri wangu wa wakili ndipo utakapoona utamu wake!
   
 8. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  simply put, mlungula in a corrupt judicial system.
   
 9. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Stamp, mihuri ya mwenyekiti wa mtaa, dole gumba n.k, yote hiyo ni miradi ya kujinufaisha.
   
 10. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Kama unazungumzia Mhuri wa Kamishna wa Viapo kama Wakili au Hakimu,unatakiwa utoe malipo. Mhuri ni mali ya mhusika binafsi na hiyo ni huduma kama nyingine. Lipa uhudumiwe. Na usirudie tena kulalamika...
   
 11. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Umedaiwa shing ngapi?
   
Loading...