Ali mufuruki kutaka kuuza uwanja wa gymkhana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ali mufuruki kutaka kuuza uwanja wa gymkhana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Oct 11, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Pengine wengi awajui nani huyu ali mufuruki
  ana vyeo vingi kwa ujumla ila ni mmoja wa aliechangia kuua atcl ,,na moja ya mchezo uliomwondoa atcl ni kuuza ndege mbili za atcl ambazo baada ya miezi miwili akaatangaza wana lease ndege mbili toka ireland kilichofanyika wakatengeneza mkataba hamad mmoja wa aliekuwa mhusika wa kuuandika akauchomoa akapeleka engineering ..hee walipokuja kuangalia registration wanakuta moja ya ndege zinazokuja ni zile zile ...zilizouzwa......aliposhtukiwa gafula akaanza kufukuza watu ... Mwisho ikabuma

  sasa huyu bwana majuzi amelaumiwa na mh malinzi kwa kutaka kuuza uwanja wa gymkhana na mbaya zaidi kwa kuwazunguka wenzio kumbe ameshaleta wawekezaji na wameshaangalia kila kitu ikawa imebaki kumalizana ndipo wahaya wakamuonyesha na sie tumeshtuka...

  Sasa najiuliza hivi huyu bwana anawaza nini anapofikiria kuuza uza mali za watu ovyo jamani na kama mnakumbuka walimwaga kila kitu kuhusu uchafu wake najua uhusiano wake na mh rais mstaafu na ndie aliempa moyo kuendelea na uchafu wake akiwa madarakani ..

  Sif zimwendee mzee wetu malinzi kwa kusoma nykati niw achache sana wenye kuona mbali na kuanika hadharani kama ninyi jamani

  huyu mtu ni wa kuogopa kabisa
   
 2. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Atauzaje kama haimuhusu au mgao hawakuelewana na malinzi ndo mpango ukavurugika bongo kila mtu ana njaa mkuu hata wewe hujapata tu fursa
   
 3. Shixi889

  Shixi889 JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kuna kamsemo..."everyone has a price..."
   
 4. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Gymkhana ni club ya wanachama ambao huwachagua viongozi wao kwa utaratibu wa wanachama kuomba uongozi; wanapochaguliwa wanatakiwa kuongoza kufuatana na katiba ya club na pale wanapokiuka matakwa ya wanachama ; wanachama wana haki ya kuwatimua!!

  Mufuruki asingeweza kuuza Gymkhana club bila wanachama kufahamu huo ni uzushi, kilichotokea ni kwamba Mufuruki alifanya mambo ambayo majority ya wanachama wa club hawakuafikiana nayo na hivyo kuitisha mkutano na kuonesha kwamba majority ya members hawakuwa na imani na uongozi wake!! Yeye badala ya kukubali verdict ya wenye club ambao ni members akawa anang'ang'ania kuwa yeye bado ni kiongozi hata baada ya vote of no confidence; na worse akafungua kesi kutaka mahakama imrudishe kuwa kiongozi as if mahakama ndio iliyomchagua kuongoza club!!

  King'ang'anizi cha kutaka kuongoza kwa nguvu club ndicho kinacholeta hisia za kuwa huyu bwana kutokana na historia yake ya biashara zake bila shaka alikuwa na lake jambo juu ya mustakabali wa club!! Malinzi amechaguliwa kushikilia uongozi kwa muda na yeye ajue kuwa hiyo club ina members wake ambao wamempa ridhaa kuongoza kama vile wanavyotaka wao akienda kinyume chake tu ,he will also face the same fate!!
   
Loading...