Nyerere alikuwa na tamaa ya madaraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere alikuwa na tamaa ya madaraka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Oct 9, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Kama binadamu wote tulivyo ndivyo na Nyerere alivyokuwa,Biblia inasema wote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu,Nyerere alikuwa na tamaa ya madaraka kwa sababu hakuwa mkamilifu,hakuna binadam aliye mkamilifu,udhaifu wa Nyerere unaonekana dhahiri alipoachia madaraka ya kuongoza chama cha Tanu na kumkabidhi mtu aliyekuwa dhaifu wa kutupwa Kawawa
  kulikuwa na watendaji wengi wenye uwezo mzuri kama wakina Kambona,Msekwa,Mwanjisi wengi tu ambao walikuwa very intelligent,Nyerere aliogopa kuwaachia mmojawapo wa hao kwa sababu alihofia watakuja kumzidi na kuchukua nafasi yake,kama binadamu naye alikosea mambo mengi hasa hili la kumpa uenyekiti wa chama mtu ambaye ni dhaifu
  Nyerere alifanya kazi na watu wote hao na alijua uwezo wao,Rashidi Kawawa alikuwa hana sifa hata kidogo ila kutokana na woga wa Nyerere kumpa mwenye uwezo aliamua kumwachia
  kumbe nyerere naye ni binadam na alijaa madhaifu kama binadamu sisi
   
 2. a

  adobe JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo unataka nini?mtu katangulia mbele ya haki.kwanza yaelekea mpaka kifo chake we hujazaliwa.peleka pumba zako zanziba na somalia
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  acha kutoa povu mkuu,soma mada na toa maelezo kama ni kweli kawawa naye alikuwa dhaifu
   
 4. j

  joely JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,030
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  ni vyema ungeanza kwa kusema haya ni maoni yangu, then uendelee.. usipende kufanya conclusive presentation kwenye kitu ambacho haukijui.

  Madhaifu ya nyerere yapo kwani hata yeye alikuwa binadamu wa kawaida, ila ukweli kuwa tangu baada yake hatujapata tena kiongozi mwenye walau kufanya 75% ya yale mema aliyofanya HAUPINGIKI KWA HOJA.

  sifa za kiongozi yeyeote ni pamoja kuhakikisha kuwa kila wakati yupo kwenye game no matter what!. kawawa alikuwa ni mzalendo wa kweli wa nchi hii hakuwa na majivuno hata kidogo na ndo maana aliaminika sasa enzi zake.
   
 5. piper

  piper JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Upuuzi tu, kama angekuwa hivyo hata asingemwachia huyo Kawawa (may both R.I.P) angewandaa wanae kumrithi kama viongozi wengi wa Afrika wanavyofanya, jamani mui muue haki yake mpe.
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280
  Sasa nimeelewa wewe ni kiumbe wa namna gani
   
 7. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kijana acha kuwa na fikra mgando! Nyerere alikuwa na nia ya dhati! kama angekuwa na tamaa angejilimbikizia mali! Nyumba yake amejengewa na JKT.
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,119
  Trophy Points: 280
  Heri tamaa ya Madaraka kuliko Ufisadi na uasherati kama hao unaowajua wewe
   
 9. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35

  Unasema "KUMBE NYERERE NAYE ALIKUWA BINAADAMU" kwani kuna mtu au yeye mwenyewe alishawahi kusema Nyerere ni malaika? Hoja dhaifu!
   
 10. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Mwenyeheri, DIKTETA Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baba wa Taifa la Tanzania

   
 11. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hoja hapa ni kuogopa wenye uwezo wa kuongoza kuWAWEKA KARIBU
   
 12. j

  joel amani Senior Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna aliyekamilika duniani,ingawa nyerere alipendwa sana lakini ukweli uko palepale mapungufu alikuwa nayo hasa mengine yako wazi mfano kuwapeleka waharifu bila kupitia mahakamani kwa kipindi hicho,ila mapungufu ya nyerere yamemezwa na mazuri mengi sana aliyotutendea na kuifanyia nchi yake ndo maana sio vizuri sana kujadili mapungufu yake
   
 13. peri

  peri JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mkuu huku jf watu wengi wanamtukuza nyerere kupindukia, hawawezi kukuelewa.
  Nyerere ndio alomaliza uchumi wa nchi yetu kwa sera zake mbovu,
  ndie alielea matatizo mengi kama ya udini na muungano kwa kuwanyima wananchi uhuru wa kusema.

  Wanaomtetea watuambie kilicho mkimbiza mzee mtei serekalini kama sio madudu ya nyerere.

  Chakushangaza leo anataka kupewa utakatifu.
   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Mkuu mimi nawashangaa sana hawa watu wanaomtetea kwa nguvu zote,hivi wale wote waliokimbia na kujiondoa kwenye utawala wake walikuwa wabaya? Mtei angesikilizwa leo tungekuwa mbali kuliko wakenya,Kambona angesikilizwa leo tusingekuwa hapa tulipo,yule mzee alikuwa anawaogopa sana wenye uwezo wa kufikiri,alikuwa hataki kuachia madaraka
   
 15. S

  Starn JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wewe wasema
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Ooh salale.........huyu si keshakufa sasa anatakaje?
   
 17. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,369
  Trophy Points: 280
  Hivi unaijua tamaa ya madaraka au unaongea tu mkuu???????????????
   
 18. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,127
  Trophy Points: 280
  Kuwaza kwako rafiki yangu ni kufupi sana. You run into conclusions. Kufikia conclusion kwamba Nyerere alikuwa na tamaa ya madaraka kwa kuwa alimwachia Kawawa uwaziri Mkuu badala ya kina Kambona kama ungekuwa mwanafunzi wangu wa political science ningekupa 8% ya upendeleo.

  Je unasahau Nyerere, japo ya kuwa raisi kwa mika 23, alikuwa raisi mojawapo wa kwanza Africa kuachia madaraka kwa hiari? Na kumbuka alitaka kuachia mapema, lakini akasema basi ngoja angalau nisaidie kurekebisha makali ya vita ya Kagera. Angalia kwamba kina Museveni waliokuja baada ya Nyerere wamekuwa maraisi muda mrufu zaidi ya Nyerere!

  Angalia kina Puttin wamerudi tena kwenye uraisi!

  Nyerere alikjua nini kifanyike baada ya uhuru ili kuwafaidisha watanzania wote, vijijini na mijini, ki-elimu, afya na umasikini. akawa na mtazamo wa kisiasa wenye kupambana na haya mambo matatu; ujinga (elimu kwa wote), maradhi (huduma ya afya kwa wote) na umasikini (umiliki wa umma wa uchumi).

  Kina Kambona walikuwa na mtazamo tofauti, walitaka tufuate sera za kibepali (capitalism). Nyerere akawa ana argue kwamba capitalism itazua tabaka la watanzania masikini sana na wachache matajiri sana - watwana na mabwana. Akasema mkiwinda mnyama kijijini, ni vema mwanakijiji apewe mgawo sawa, hata kama hakuhusika moja kwa moja kuwinda kwa kuwa alikuwa na kazi nyingine kijijini. (Kenyatta alisema hapana, waindaji wanapaswa kupata maini, na kama hukuwapo uambulie kitakachobaki baada ya wawindaji kuchukua sehemu nzuri nzuri!)

  Sasa niambie, ungekuwa wewe ndio Nyerere, katika mazingira hayo, ungewaachia nchi kina Kambona ambao ukijua wazi mna mitazamo tofauti katika uongozi wa nchi? Nyerere alichofanya ni tamaa ya madaraka au rational thinking?

  Unafikiri nini kingetokea iwapo angewaachia kina Kambona? Angefanya hivyo nadhani leo hii tungekuwa na historia inayosema Nyerere ailikufa kifungoni mwaka 1961, na wengi wetu lecture halls za UDSM tungekuwa tunazisikia redioni tu. Huenda baba yako hata darasa la saba asingefika!
   
 19. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Synthesizer,
  You can not educate an educated fool.
   
 20. Z

  Zuwely salufu Senior Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
   
Loading...