Majambazi 5 wauwawa Kilimanjaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majambazi 5 wauwawa Kilimanjaro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Eeka Mangi, Oct 10, 2012.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Habari wana JF mlioko hapo Moshi.
  Taarifa ambazo nimezipta mchana huu ni kuwa majambazi watao 5 wameuwawa na polisi baada ya kuanza kurushiana risasi na polisi. Pia inasadikika kuwa polisi wamewakamata wengine 3 na wanaendelea operaresheni ya kuwakamata wengine.
  Kwa mlioko Moshi tunaomba mturushie matangazo ya huko.
  Je ni kweli Majambazi ama wamehitilafiana tu na polisi?
   
 2. u

  ureni JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hivi Mahita bado yuko moshi?
   
 3. m

  mnyinda JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ndio unakurupuka usikihuu?habari simesha xpaya hizo soma ukrasa wa juu
   
Loading...