Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

UKIWA NA SHIDA NA WAKILI TAFADHALI TEMBELEA HAPA LAWFRONT ADVOCATES
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huwa natamni sana kuwa mwanajeshi ila sijui nianzie wapi? 25 old economics graduate
0 Reactions
4 Replies
988 Views
Nipo njiani naelekea Moshi na nilipofika hapa eneo la Katiti kwa wale wanaojua hii njia vizuri,kwa mbele kidogo kuna daraja na ndipo nikakuta gari tajwa hapo juu likiwa lipata ajali ya basit...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
KIWANDA cha Tanzania Pharmaceutical Indusrties Ltd (TPI), kimekanusha kuhusika na usambazaji, uzalishaji wa dawa bandia za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi (ARV’s).Kiwanda hicho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yahya Mohamed, wewe ni memba hapa JF naomba unipe jibu: Hivi ni kweli Waandishi wa habari waache kumwandika DR Ulimboka kwa sababu wanampa kichwa na wananchi wamechoka habari zake? Je, ni kweli...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
Jana kwenye Jahazi, Kulikua na mjadala kati ya Arnold Kayanda na bwana Kibonde. Hoja ilikua moja, Rais mstaafu Ally H Mwinyi alikua na kesi mahakani, waandishi wakaenda, kama kawaida yao, kupata...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wachina wanazidikushika kasi hapa nchini, wengine wakiwa na sifa za kufanya kazi hapa nchiniwengine hawana kabisa, ninavosema hawana ni hawana uwezo sababu nimefanya naokazi. Sio wachinatu hata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Yupo live anatiririka kuhusu ARV feki anasema kiwanda chake kimeshusha mzigo mara mwisho april 2011
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwanza ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwa mungu wangu ambaye naamini amekuwa ndio mlinzi na kiongozi wa kila nyayo ninayotaraji kuikanyaga na kunifanya niweze kuifurahia dunia kwa miaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS; Ni Kampuni inayojihusisha na Advertising,Marketing & Promotions Lengo kuu nikusaidia Wajasiriamali na Wafanyabiashara kuweza kujua Wateja wao na Wateja kujua bidhaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali kupitia MSD wamesimamisha usambazaji wa dawa zote zilizo katika maghala ya TPI na MSD ambazo zimetegenezwa na TPI Akiongelea sakata hilo Waziri mwinyi alisema “Tumeona tuchukue hatua...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Heshima kwenu wadau, Naomba msaada wa gharama za premium health insurance per year zinarange vipi,,, I mean ile package ambayo ukiweka kwa mtu anakuwa na uhakika wa kusafirishwa hata india au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, mada hii naiweka hapa kwenye jukwaa la siasa licha ya kuwa mhusika wa mineno mikali ni mwana burudani mzuri. Mwimbaji nguli mwenye tamathali za semi, mwenye kauli kali zenye...
2 Reactions
12 Replies
8K Views
Habari za majukumu waungwana, natumai Mungu anatujaalia hali njema na afya za uhakika mpaka tunapata fursa za kupita huku jukwaani na kuweka hisia zetu. Ni muda mrefu nimekuwa nikiamini ya kwamba...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
‘The planet is too crowded – let's kill the right people' Paul Joseph Watson During a recent appearancece on the StarTalk Radio Show, Real Time host Bill Maher expressed his desire...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
It will start in a few minutes, watch through various international news channel, CNN / AL JAZEERA / BBC/ MSNSBC etc You can tune ITV have joined with CNN.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
DC aamuru waliosababisha kipigo cha askari wakamatwe: MKUU wa Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, Christina Mndeme amewataka maofisa watendaji wa vijiji vya Kata ya Gendabi kuhakikisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku chache baada ya kuwepo kwa taarifa kwamba waziri wa michezo na utamaduni ataunda tume ya kuchunguza TOC, mwanaharakati na mkimbiaji Willlheim Gidabudayi ameibuka na kumuomba waziri asijaribu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Haya matangazo Likuki ya Aitel Money kiladakika kwa kila radio eti ni free service...kwa nini wasiwe wazi kuwa ni from 01-99,000/=???? ukituma zaidi ya hapo ukikatwa unastahili kuwashtaki na...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Ndugu zangu kuna aja ya wananchi kuwa waalendo kwa nchi yao katika mambo ya msingi. Kuna nchi ambazo zimefikia hatua ya kwenda kumshitaki jirani yake iwapo anaharibu miundombinu au kukwepa kodi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom