Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,372
- 2,375
Wakuu
Hii tabia naona inakuwa kwa kasi na haikemewi na umma wala jeshi la polisi.Unakuta polisi wa doria wanapaki gari katika bar wanaingia wakiwa na silaha na kula na KUNYWA VILEVI
Ni hatari kama moto wa gas..wanaweza kukorofishana na jamii na kutumia silaha pasipo na akili timamu(sober) na pia ni hatari wahalifu wanaweza kuwapora silaha kwa kuwa wanakuwa wamedhoofisha mwili na akili kwa kilevi na kwenda kuitumia vibaya
Tunajua viongozi wanaweza kuwa hawalijui hili lakini sisi wananchi tunaokutana nao na mi-SMG mezani tuwafanyeje hawa ??