WanaJF wenzangu kati ya chaneli ninazozipenda kuziangali ni STAR TV na ITV na sehemu waliyoifanya vizuri hadi nimewakubali ITV ambayo STAR TV wanatakiwa na wao waige ni kuunganisha vipindi kama...
WANA-JF;
Naomba kujua kuhusu mtaji (capital) unaohitajiwa na contractors Registration Board (CRB) ili kuweza kusajili kampuni ya ujenzi kwenye madaraja yake tofauti tofauti. Nimejaribu kutafuta...
Tusiingize siasa kwenye hali ya hewa. Ni vema kuchukua tahadhari kabla ya shari na kujifunza kujiandaa na majanga. Kupuuzia utabiri kumewaponza wengi katika nchi mbalimbali. Siombei mabaya, ila...
Basi hili limepata ajali leo asubuhi baada tu ya kutoka mji wa kahama kuelekea Bk inasemekana kuna watu wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya , basi hili liligonga, mwenye ndugu...
UDA imenunua mabasi mapya 30 yenye uwezo wa kubeba abiria 40 kila basi. Hii ni mara ya kwanza UDA, ambayo sasa ni kampuni binafsi, kununua mabasi mengi kwa wakati mmoja tokea ilipoanzishwa miaka...
Witchcraft and witch-hunts in England and Tanzania Leave a reply
Trial of Witches, 1612″, by Fred Kirk Shaw in 1913.
In the year 1612, in the northern...
Monday, 08 October 2012 10:05
By Zephania Ubwani, The Citizen Bureau Chief
Arusha. Tanzania will be among the oil producers in the world in the future following recent discoveries of huge...
Taarifa nilizozipata kutoka Bukoba ni kwamba,watu wanane wamekamatwa wakiwa nje ya kanisa katoliki mjini Bukoba wakiwa na vifaa ambavyo uchunguzi wa awali ulionesha kuwa ni vya mlipuko.Katika...
leo nimekuwa hapo jk air pot kq air ways wamechelewa zaidi ya masaa mawili ninejifnza mengi sana,mda wote tumesimama hakuna cha mngonjwa wala mzima mabechi hamna pale wamehozi matax draiver,hivi...
Nimekuwa nikisikiliza wimbo wa taifa mara kwa mara, lakini nashibndwa kupata mantiki ya baraka tunazoimba kwani Mungu ashamaliza kazi yuake ya kuibariki Tanzania, sema sisi wenyewe na viongozi...
Hatimaye mvua zilizokuwa zimetabiriwa na mamalalaka ya hali ya hewa kuwa zinatenyesha ukanda wa pwani zimeaanza kunyesha hapa dar baadhi ya maeneo kunanyesha mvua kubwa. Wale waliokuwa wanaponda...
Taarifa imetolewa kuwepo kwa mvua kubwa katika siku moja au mbili zijazo.... sikatai taarifa hii lakini ni Utabiri au uhakika? amini usiamini kunasiku hawa jamaa huwa wana copy & ku paste...
Jana nilikuwa naangalia matukio katika kijiji cha Mama Shujaa wa Chakula pale Maisha Plus, kwa maana ya matukio yaliyojiri siku ya J'2. Nikaona ya kwamba ilikuwa ni siku ya Ibada kwa Wakristo na...
Wakuu
Mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 tumekua tukishuhudia na kusikiliza hotuba za wenyeviti wa vya va CHADEMA na CUF. Pamoja na kuwa na elimu ndogo ukimlinganisha na Prof. Lipumba, Kamanda...
Mara kadhaa niliwahi kumsikia mhe. Rais akisisitiza ujenzi wa barabara ya Mto wa Mbu-Loliondo-Mugumu road, sambamba na kuwepo pingamizi toka kwa watu/mataifa mbalimbali. Baada ya watu wengi au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.