Je ni kweli Tanzania tunaweza piga hatua kweli? soma hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kweli Tanzania tunaweza piga hatua kweli? soma hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gheto's King, Oct 9, 2012.

 1. G

  Gheto's King Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Inasikitisha kuona watanzania tulio wengi tunaishia kulalama kila uchao kuhusu uozo wa viongozi wetu na maamuzi yao ya hovyo lakini tunashindwa kuchukua hatua stahiki.
  My take:
  Ni bora mtu ukakaa kimya kuliko kutokwa na povu jingi mdomoni ktk mitandao ya kijamii wakati ukuambiwa u act ktk unayoongea huwezi.
  Conclusion:
  Upoyoyo wetu ndo umetumiwa ipasavyo na viongozi wetu kutumaliza ktk kila secta. wanajua utambwela after few days unasahau. Ingependeza kama tungenyamaza afu tujitazame kama tunaweza kufanya tunachosema. Ni aibu nadhan hata mataifa ya wenzetu wanatucheka tunavyohangaika kila uchao kutafuta mchawi wakati mchawi tulionae anafahamika "UOGA". Nadhani hakuna taifa linaloongoza kwa kuwa na wananchi "WAOGA" kama Tanzania.
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Sijaelewa kitu hapo isipokuwa conclusion ndeeeefu!
   
 3. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  punguza hasira. kila jambo lina mwanzo wake na dalili ya mvua ni mawingu.zamani hata hivi vyama vya siasa havikuwa na supporters kama unao waona miaka hii. hizi ni dalili tosha kuwa mwisho wa wakoloni weusi unakaribia.miaka ya1990 huko kila aliye kuwa upinzani alikuwa anaonekana na jamii kama ni mtu aliye changanyikiwa fulani hivi,leo hii CDM inashinda chaguzi wao wanachakachua na wakati mwingine wanashindwa kabisa.kuwa mpole subiri 2015 utaona kuwa kumbe watanzania wameamua. VIVI CHADEMA,VIVA M4C!!!!
   
 4. T

  Tetra JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Malalamiko ni kutoa alama kuwa mambo hayako sawa.Ni jukumu la watawala kusoma ALAMA ZA NYAKATI,,malalamiko yasiposikilizwa kitakachofuata ni sawa na gari kuacha njia matokeo yake hakuna asiyejua.
   
 5. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,441
  Likes Received: 9,090
  Trophy Points: 280
  Hata mbuyu ulianza kama mchicha
   
 6. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Watanzania wako macho sana! wenyewe wako teyari kufa kumtetea fisadi (mbunge) ahingie BUNGENI lakini hawako teyari kumtetea NDUGU yao anapoonewa au kuuliwa? watanzania wanakipa kipaumbele chao NI WATAWALA lakini HAKI ZA WATU baadae. EVERY ONE IN THE COUNTRY NI SELFISH!!!
   
Loading...