Msaada wa kuelimishwa jinsi ya kufika mkoa mpya wa katavi.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kuelimishwa jinsi ya kufika mkoa mpya wa katavi..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sosoliso, Oct 10, 2012.

 1. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Wana JF naomba mnijuze jinsi ya kusafiri na basi kutoka Dar es Salaam kwenda mkoa mpya wa Katavi.. Pia gharama za nauli.. Au mwenye contacts za mabasi yanayoenda huko na haswa Sumri.. Nimejitahidi kutafuta kwenye net nimewakosa.. So naomba kwa anaejua anisaidie kwa hili.. The sooner the better..   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ofisi nadhani ziko Sumbawanga mjini i.s RC na wengineo.Mkoa umekaa kushoto sana
   
 3. n

  ngonani JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 27, 2012
  Messages: 1,371
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Ukipita mbeya route ni ndefu sana,njia raisi panda basi Dar-Tabora,ukifika Tabora unaweza kupanda treni to Mpanda ni safari ya 12 hrs na ukitaka kuwa comfortable kata second class behewa jirani na buffet,unasafiri huku unaburudika,nauli ni aproximatelly 20,000 Tshs,kama sio siku ya treni uwa kuna mabasi toka Tabora kwenda Mpanda kupitia Ipole na Inyonga,ni safari ya masaa kama 8 hivi na nauli ni approxiamatelly 20,000 tshs.Nauli ya Dar-Tabora ni approximatelly 50,0000 tshs.Kama huna hela ya kutosha kata ticket ya treni toka Dar- Mpanda via Tabora,kwa third ni kama elfu 30 na inachukua siku 3.Lakini kama pochi yako ni nzuri unaruka na precision Dar -Mwanza,ukifika Mwanza unapanda ndege ya Auric ambayo ni shs 550,000 kufika Mpanda.UNHCR wana ndege yao kati ya Mwanza - Mpanda lakini kwa vile hawafanyi biashara kupanda hadi uwe mfanyakazi wa serikali na unasafiri kikazi,nauli ni approx laki tatu na nusu na inabidi booking ufanyie ofisi yao ya Dar.
   
 4. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Ahsante sana Mkuu.. Ila safari yangu bajeti yake imefinywa.. Kwa hiyo kwa usafiri wa ndege haiwezekani.. Halafu tarehe 15/10/2012 natakiwa niwe pale Katavi mkuu.. Hiyo ya tabora kama ningekuwa na muda ingekuwa njema.. Labda una ufahamu na hii nilioambiwa ya kupitia Mbeya - Tunduma.. Naomba unijuze.. Nategemea kusafiri tarehe 12/10/2012..
   
 5. w

  white wizard JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  pitia tabora,dar-tabora ni sh.45,000 kwa basi la nbs,au 35,kwa airbus,unafika tabora ucku saa 4,kesho asubuhi yake unapanda basi la nbc,au airbus kwa sh.20,000 hadi mpanda unafika saa 8 mchana.kupitia sumbawanga ni njia ndefu sana na barabara zenyewe ni mbaya,na gharama yake ni kubwa zaidi.na ukitoka leo dar kesho mchana upo mpanda,usafiri wa train hauaminiki hata kidogo,mabasi tbr-mpanda ni kila cku na ni magari 2 kila cku.
   
 6. w

  white wizard JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Hapana kaka!ofisi ya mkuu wa mkoa wa katavi ipo mpanda,nje kidogo ya mji ukipita station,kuna jengo ambalo linajengwa kwa ajiri ya halmashauri ndio Rc anatumia.
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  ofisi ziko mpanda mjini
   
 8. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimekupata hapo.. Nafikiria kuufuata ushauri wako.. Kesho ntakwenda pale Ubungo kufanya mpango wa safari.. Ila ni safari ndefu sana..
   
 9. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  NBS wafuate Magomeni pale mkuu ndo headquarter yao
   
 10. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Magomeni mtaa gani pale Mkuu..?
   
Loading...