Familia ya Kikwete yajipendelea au wanaogopa kujitokeza kupambana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Familia ya Kikwete yajipendelea au wanaogopa kujitokeza kupambana?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Candid Scope, Oct 10, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. k

  kapongoliso JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,136
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Hawa jamaa wako selfish halafu ulimbukeni unawasumbua sana. Sio kwamba wana uwezo wa uongozi kihivyo ila ni basi tu. Kuliwahi kutokea tetesi eti wanasema kutesa kwa zamu na sasa ni zamu yao kutesa. Bahati nzuri bado miaka mitatu tu ya kutesa, baada yahapo watatafuta kwa kwenda. Hizo passport mbili wazitafute mapema kwani baada ya 2015 hawna lao TZ. Si kutesa kwa zamu bwana.
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Jaribu kumeza mengine, umeanika mno mdau.
   
 4. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tatizo lao ni kwamba licha ya kuwa waroho wa madaraka ni vipofu wasiofikiria ya kesho. Laiti wangejifunza toka kwa Sumaye na jinsi anavyoaibika na kupondeka!

  Hakuna rais atakayeumia baada ya kuachia ngazi kama huyu Kikwete. Anaishi kama kijana asiyejue kuna kesho maskini. Ukiangalia mke wake ndiyo usiseme. Huyo mwanae Riz sijui alisomea sheria ipi? Maana anashindwa kutumia akili ya kawaida achana na usomi wa kisheria.

  Siku arobaini yao ikifika watasaidiana kutupa mtondoo gerezani.
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,610
  Likes Received: 82,193
  Trophy Points: 280
  Kimeshakuwa Chama Cha Vikwete.
   
 6. MLUGURU

  MLUGURU JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 817
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 80
  b m w,baba,mama na watoto
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,823
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa hawana soni.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 8. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Zamu yao,atahakikisha rais mstaafu na wajukuu zake wote wanalindwa na sheria ya kustaafu hadi kizazi chote kiishe!la sivyo!magazeti yatajaa skendo zao tu subiri 2015 ifike atoke!
   
 9. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Bagamoyo imekuwa kama inamilikiwa na ze kikwetez.
   
 10. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Leo hakuna kurara....kwi kwi kwi!.
   
 11. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  umekata Yego, nanywea mvinyo nisinzie huku nikiwasoma chama cha vikwete-CCV ya Bagamoyo! huh
   
 12. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Bora sisi wavuvi ndo tunaamka, tunazimua na wine aina ya "Pinot Noir".
   
 13. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Hao ndugu za kikwete wanahaki kugombea uongozi chama chochote , LAKINI KWENDA CCM ni utoto wa kisiasa kupenda KUTAFUNULIWA NA VYA BURE!! hao ndugu zake JK wanatamaa mpaka wanataka wafanikiwe UFISADI IN MASSIVE AMOUNT kama walivyo ona mafanikio ya kuiba aliyoyapata baba yao JK!! Shame on them to all!!!
   
 14. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hakuna mtanzania anayeisubiri kwa hamu hiyo siku ya hawa jamaa kubeba mtondoo gerezani kama mimi...

  Hivi ni Tanzania gani tunayoongelea ambayo eti mtu kama Salma Kikwete kuwa mbunge, au waziri,,, what a joke...
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  yaani bora hata mkapa..huyu jamaa ana ukabila/undugu mpaka basi
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Hapana, wasije kusema hatukuwaonya, Mwinyi alikuwa Rais lakini alitandikwa kibao na kijana tu pale Diamond Jubilee kwa sababu Mwinyi hayuko kwenye Power tena, na wasisahau Gaddafi alivyosokomezwa vijiti vya makalioni na wale vijana waliomkamata.

  Kuna kitu huyu jamaa hataki kukubaliana nacho kwamba ukiwa out of Power na biashara yako imekwisha, asidhani yeye alivyotuamrisha tumuache Mzee Mkapa apumzike basi anadhani na Serikali ya Chadema itasema tumuache JK apumzike.

  Kila Mzalendo anachopaswa kukifanya sasa hivi ni kuorodhesha mali za hawa jamaa wanazomiliki ili siku tukimuapisha Rais asiyetokana na CCM hizo mali zote umma utajigawia.
   
 17. peri

  peri JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hivi wameteuliwa au wamechaguliwa?
  Mbona wabongo tuna roho za korosho sana?
  Nani aliyemnyima mtu nafasi ya kugombea?
  Wamechukua fom, wakapitia taratibu zote za chama na mwishowe wakapita.
  Mbona bush na babake wote walikuwa marais wa marekani na huwezi kusikia malalamiko?
  Ni demokrasia, unagombea unachaguliwa na sio kuteuliwa.
  Chuki zitawauwa ndugu zangu na hayo mabaya mnayowaombea hayato wapata kwa uwezo wa MWENYEZI MUNGU.
   
 18. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  BMW=Baba+Mama+Watoto
   
Loading...