Amefariki usiku wa kuamkia leo nchini Ufaransa akiwa kwenye matibabu
wenzake wanaenda India yeye amekwenda Ufaransa, kama angekuwa India angepoa kma unabisha wauulize wale wagonjwa wawili wa Mbeya.
RIP Fisadi wa TRA
Alikuwa anaumwa nini hasa? Au cancer?Walid juma ameshatibiwa india sana, amekaa apollo kwa miezi kibao kabla ajaenda ufaransa, na hii ni refer kutoka apollo maana hata wahindi kuna magonjwa nao wanakurfer kwingineko,,, mara nyingi muhindi akikupa refer somewhere else lazima iwe kwenye best centres in the world mara nyingi ni germany, france au usa...
duuuh iyo hela ingejenga dispensary ngapi hapa nchini mtu mmoja anatibiwa kwa bilioni 2 na watu millioni moja wanakufa kwa kukosa dozi ya malaria ya sh 2500Walid juma ameshatibiwa india sana, amekaa apollo kwa miezi kibao kabla ajaenda ufaransa, na hii ni refer kutoka apollo maana hata wahindi kuna magonjwa nao wanakurfer kwingineko,,, mara nyingi muhindi akikupa refer somewhere else lazima iwe kwenye best centres in the world mara nyingi ni germany, france au usa...
duuuh iyo hela ingejenga dispensary ngapi hapa nchini mtu mmoja anatibiwa kwa bilioni 2 na watu millioni moja wanakufa kwa kukosa dozi ya malaria ya sh 2500
apumzike kwa amani
yaani acha tu kwanini wasoboreshe humu nchini? basi hosptal zote humu zifungwe serikali itoe tamko kila mtu aende njeYaan we acha tu, nilienda na b mkubwa apollo nilitaka kudata,, yaan rum tu ndan ya hospital international division cheapest ni kama usd 200 per day, bado msos maana hospital apollo wame outsource kwa catering company nayo inaleta invoice daily, bado bili ya surgery, vipimo na matibab yote.. na haraka haraka matibabu sio chini ya mwezi, hapo ujaweka matibabu na ni mwendo wa madolari tu,,, japokuwa ndugu,jamaa na marafiki walijichanga but hizo cost ni noma...
Raha ya hawa wenzetu wanatibiwa na serikali so yeye haulizi hata bei ni shangwe tu, maana kipindi nipo kule alikuwepo fataki wa lulu yule mbunge.. Yaan anakaa hospital hajui hata bei zinakuwaje as serikali inalipa, we unawaza hela nikiishiwa itakuaje ye anacheka cheka tu as kila kitu kalipiwa
RIP Walid Juma.
Pole kwa wote walioguswa na msiba huu.
Kwa hakika TRA imepoteza mojawapo ya watu makini sana!
mkuu kwan kila mfanyakazi TRA ni fisadi? Wengine waadilifu mkuu, so usi-generalize mkuu