pole ndugu mwangosi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

pole ndugu mwangosi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mtaftaukweli1, Oct 10, 2012.

 1. m

  mtaftaukweli1 Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hali ya sasa serikali ina zidi kuchefua wanainchi wazalendo na wapendahaki wote dunian, mbaya zaidi wanaojidai kuwa wana shikilia dola wanapoamua KUFANYA lolote bila kujali wenzao.Ivi wanapoamua kuficha hata mambo ya wazi wanaelekea wapi hasa? pole Mwangosi kwa yalokupata ulipokuwa nasi hapa duniani ,na penda kuwaombea msamaha kwaniaba yako wote walo husika ,mwenyezi mugu awasamehe bure.HAWAJUI WALITENDALO.
   
Loading...