Msiba: Mwalimu mkuu msaidizi kisutu girls hatunae! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msiba: Mwalimu mkuu msaidizi kisutu girls hatunae!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Userne, Oct 10, 2012.

 1. U

  Userne JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kapumzike kwa Amani Mama Angelka Msaki!
  Ulitwambia mapema kwamba unayo VITA! Basi Manka maadui zako wamefurahi eti kwa kuona wameshinda! "Kimila" KAMA NI MAPENZI YA MUNGU TUNASEMA AMINA JINA LAKE LITUKUZWE! LAKINI KAMA NI MKONO WA MTU! BASI TUNAKUKABIDHI MKUKI KIGANJANI MWAKO, WENDE NAO UWACHOME! NA USIPUMZIKE HADI UTAKAPO WARUDI! NA IWE HIVYO!
   
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  rip mwalimu
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Lala kwa AMANI ya Bwana wetu Mwalimu!

  Bwana atakufufua siku ya mwisho!

  Ameen!!
   
 4. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  alikuwa na vita gani na watu gani?
  kama ndivo malipo huwa hapa hapa duniani
  RIP
   
 5. awp

  awp JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  r.i.p mwl
   
 6. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 1,713
  Trophy Points: 280
  Hata mimi hapo sijampata vizuri muwasilishaji! Hata hivyo poleni sana Kisutu girls!
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Eleza kitu kilichoenda shule, siyo unatuacha kwenye mabano!
  Japokuwa hiyo habari inaonyesha ni ya kusikitisha sana, mimi nadhani sitaisoma hata ukiileta, maana hapa tu nishanyongea moyoni!
  Watanisimulia wengine!
  Mama Pumzika kwa amani.
  Poleni kwa msiba!
   
 8. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,674
  Trophy Points: 280
  habari hii ni ya kusikitisha!lakini ulivyo ileta inakuwa haileweki!!kama kuna kumsema mtu vile!!au kama vile wote tunajua kilicho kuwa kinaendelea huko!!anyway, kwa heri mwalimu kapumzike kwa amani!nyuma yako wanafunzi wako tunakuja!
   
 9. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  Poleni wote mliofikwa na hili kwa namna moja au nyingine.
   
Loading...