Wakuu,
Ni siku ya tatu leo huu mtandao haueleweki kbs. Nimekuwa najaribu kupiga simu zaidi ya mara 6 ndio nimpate ninayemhitaji. Msg za juzi ndo zina deliver leo. Hebu tusaidiane wananchi...
Taa za barabarani za uhasibu kurasini leo zimewaka. hii sehemu ilikua moja ya sehemu maarufu ya kutoa roho za watu kwa sababu ya ajali zilizokuwa zikitokea. Serikali ya ccm ijifunze utii wa sheria...
Kuna habari zisizo rasmi kupitia Radio Free Africa ya kwamba soko la Uyole huko Mbeya linaungua saa hizi. Mwenye habari zaidi tunaomba mtujuze.
Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto
Nipo kwenye daladala hapa natokea kutafuta mkate,redion namsikia kibonde na wenzie wanajadili kauli za akina mukana na Sumaye juu ya mustakabali wa RUSHWA,sasa kibonde amesema rushwa ipo kila...
Nakumbuka tokea nikiwa mdogo, nikiwa na kumbukumbu zangu sahihi hata leo nikiwa na miaka arobaini sasa duniani, rangi ya bahasha za kiofisi ni khaki na maneno ni yale yale, ON TANZANIA GOVERNMENT...
Nilikuwa jana ofisi za startimes Arusha maeneo ya Friends corner.Nilishangazwa na mlinzi kuwafanyia installment zile decoder zao na kuonyesha jinsi ya kuunganisha.Sasa huyu mlinzi anfanya kazi ya...
Nimesikia ya kwamba Serikali
imemsimamisha kazi Mkurugenzi mkuu wa bohari ya dawa Joseph Mgaya kutokana na kuidhinisha dawa bandia za
ARV. Pia mkaguzi wa bohari amesimamishwa; na kiwanda cha...
Kila ifikapo mwishoni mwa mwaka kuna watu wanaoshirikiana na viongozi kutoka ofisi ya serikali za mitaa, salasala mabanda mengi kuwaibia wananchi wa maeneo ya salasala kwa Babu na maeneo...
Katika kushughurikia maswala yangu katika ofisi za umma na katika mabenki nimebaini kuwa baadhi ya wafanyakazi nilio wasikia wanatumia neno "MAMA" wakimaanisha mkuu wao wa kazi, awali ilinipa...
Kwema wana JF,
Hivi hawa wamiliki wa huu mtandao wa simu wana undugu na serikali yetu au? wana matatizo na ni wezi na hata tunapolalamika hawachukuliwi sheria yoyote na mamlaka husika. Jana...
wana jf wenzangu hebu tujuzane labda mimi nina kaujinga kanastaili kuondolewa ntauliza kutumia mfano il mnielewe'mf,mimi nafanya kazi kwenye kampuni nikapewa target kwamba kwa mwezi niingizie...
A Nairobi court has stopped US President Barack Obama's half-brother from taking his three-year-old son to America and ordered him to produce the child in court.
Mr George Obama, 30, was sued...
AFISA wa Uhamiaji ofisi ya Mkoa wa Mwanza Albert Buchafwe amenusurika kuuawa kwa risasi baada ya kushambuliwa na Mkuu Msaidizi wa Kituo cha Polisi Nyakato, Abubakar Zebo kwa madai kuwa walikuwa...
HAKIKA UMEFIKA WAKATI SASA JESHI LETU LA POLISI KUTII SHERIA BILA SHURUTI ,TUMESHUHUDIA MATUKIO MENGI YAKIIGUSA TAASISI HII HAPA NCHINI ,HUSUSAN MAUAJI ,PENGINE RIPOTI YA MWANDISHI MWANGOSI MUNGU...
check mkakati wa uda!!!!watatoka na mabasi kama ifuatavyo!
mabasi maalumu ya kubeba wanafunzi
kutakuwa na mabasi maalumu ya kubeba wanawake pekee yatakayojulikana kwa jina la Malaika eti...
Sisi ni watanzania katika nchi huru
Tumechoka kuonewa na polisi
Tumechoka kubambikiwa kesi za uongo
Tumechoka kupigwa ili kutuliza frustration za ugumu wa maisha ya askari
Tumechoka kutozwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.