Wabunge/Mawaziri wa Zanzibar sasa wanatangaza pombe

Status
Not open for further replies.

the circus

Member
Oct 24, 2011
71
59
Hawa wabunge wa Baraza la wawakilishi kila kukicha wako bize kutuonyesha wao hawataki mambo ya kuharibu mila na desturi zao za kizanzibari

haya imekuwaje wameamua kutangaza pombe?

Tazama hizi picha:

MICHUZI: sbl yatumia zadi ya mil 65 kuadhamini mechi ya wabunge na baraza la wawakilishi zanzibar.

DSC_7508.jpg


5.jpg

WABUNGE WA ZANZIBAR WANAOPENDA KUTANGAZA POMBE...


3.jpg

WABUNGE WA BARA KWA KUONYESHA HAWANA MUDA WA KUTANGAZA POMBE WAO WALIVAA TRACK SUITS ZA BLUU

Tena kwa kuonyesha ushabiki wa kutangaza pombe wao wameamua kuvaa jezi zenye kutangaza wakti wenzao toka bara waliamua kuvaa traksuti zilizokuwa plain

Huu ndio unafiki wa BLW wa zanzibar. UAMSHO na akina PONDA PONDA wako wapi kuhusu haya mambo? mbona hawayapigii kelele?

hawa ndio wanasiasa wa Zanzibar.
 
Sasa Philemon Michael hana cha kulalamika

dawa aje anyonye hii kisha akawape kule Mzalendo
 
Viongozi wa Zanzibar kwa t shirt za bure acha kabisa, hata iwe ni ya maneno ya ovyo watavaa ili mradi ni ya bure.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom