MwanaHalisi larudi kivingine kuanzia leo J3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MwanaHalisi larudi kivingine kuanzia leo J3

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Magesi, Oct 8, 2012.

 1. M

  Magesi JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi kuwa gazeti la mwanahalisi limerudi kivingine kwa jina jipya likijulikana kama MWANAHABARI NA LITAKUA MTAANI LEO KWA SHILINGI MIA TANO.

  KAMA NI KWELI WATAKUA WAMEFANYA KITU KIZURI KWANI TUMEKOSA HABARI ZAKE MUDA MREFU.
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  naombea iwe hivyo kwa kweli
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ngoja niwahi kwa wauza magazeti niwahi nakala yangu
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Mwanahabari lipo siku nyingi ni gazeti la mafisadi usilipe promo
   
 5. Anthony Lawrence

  Anthony Lawrence JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,544
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Ni kweli gazeti hili lipo siku nyingi inaonekana Magesi si mfuatiliaji mzuri wa magazeti ya bongo
   
 6. Z

  Zuwely salufu Senior Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama kweli limekuja kivingive naoma sasa vigogo wanapata hofu kuwa litakuwa limeanza na nani
   
 7. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  mkuu vipi? mbona wadau hapo juu kabla yako wameshachangia kuwa lipo siku nyingi na ni la mafisadi? au wewe unasoma heading tu na kuanza kuchangia?
   
 8. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Siyo kweli. Mwanahabari ni gazeti la Mafisadi. Linapewa fedha na mafisadi. Kubenea hajaanzisha gazeti. Nilizungumza naye kwenye mkutano wa Sumaye akasema, hana mpango wa kuanzisha gazeti jipya. Acheni uwongo huo.
   
 9. MUSONI

  MUSONI JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Ngoja niwahi nitawajuza baada ya dk tano....!! duuuu..Mwakyembe anika ripoti ya Bandari kama
  ilivyo...utaheshimika.
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,331
  Likes Received: 22,174
  Trophy Points: 280
  Mlango mmoja ukifungwa, mwingine hufunguliwa.
   
 11. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  ushindi ni lazima
   
 12. MUSONI

  MUSONI JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  ni kweli limo mtani Toleo no:17 Jumatatu Oct 8 - 15 Heading Mkakati mpya kuelekea ikulu mwaka ,2015..
   
 13. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Big up Kubenea! Fufua sakata la Dr Steven Ulimboka,,usiogope tuko nyuma yako.Tutakusupport shaka ondoa
   
 14. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  JF wakati mwingine ni Kiwanda cha kutengeneza uongo
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Ya kweli hayo??
   
 16. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..Nimerudia hii comment ya post ya SPANNER:

  Siyo kweli. Mwanahabari ni gazeti la Mafisadi. Linapewa fedha na mafisadi. Kubenea hajaanzisha gazeti. Nilizungumza naye kwenye mkutano wa Sumaye akasema, hana mpango wa kuanzisha gazeti jipya. Acheni uwongo huo.
   
 17. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hivi Plan B ya Kubenea ilikuwa ni ipi? cause kwa mwendo ule wa kuanika mabaya ya serikali ya ccm siku moja ilikuwa lazima yatokee yaliyotokea. Anyway,,namiss sana habari zake za uchunguzi
   
 18. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Kuja kivingine sio option nzuri maana ile sheria kandamizi ya dikteta JK itaendelea tu kuumiza vyombo vya habari. Inaweza kupiga rungu hata huko kivingine walikoijia. Hapa muhimu tupambane na hii sheria kandamizi kwa vyombo vya habari maana muda usiojulikana haujulikani kweli na miezi inakwenda huku Ramadhani Ighondu anakula bata tu
   
 19. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,118
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 280


  Usiwe na hamu sana ya kuliona ama kulisoma kwani litakuja kwa kishindo kwa kuisifia CCM kwa kila kitu hata cha kustahajabisha ili mradi tu nao wapate kula. Njaa ni kitu kibaya kweli. Usije shangaa kurasa 10 za kwanza ni habari kuhusu safari ya Kikwete majuu zinazofuata wanaiomba radhi CCM pamoja na matangazo ya siku kuu ya taifa Fiesta!
   
 20. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  salaam wadau

  juzi kuliletwa taarifa humu kuwa kuna ujio wa gazeti jipya litakaloitwa MWANAHABARI,
  tunaomba mtutupie makala zake humu maana sisi wengine tupo mbali,
  nilikuwa na shauku kubwa baada ya kuelezwa kuwa ni gazeti mbadala
  ya lile gazeti letu pendwa lililofungiwa na MWANAhalisi.

  matanguliza shukrani
   
Loading...