Mahojiano kati ya saleh ally wa gazeti la champion toleo la 9/10/2013 na mkurugenzi mtendaji wa Azam Media mr Rhys Torrington
Salehe ally (swali lini mnaanza)
mkurugenzi- kwasasa tumeingia...
See them fighting for power
But they know not the hour
So they bribing with their guns, spare-parts and money,
Trying to belittle our
Integrity now.
They say what we know
Is just what they teach...
Ndugu zangu Mimi ni chotora, mwanafunzi msanii chuo kikuu cha Dar es salaam. Ninajishughulisha na filamu. Kwa yeyote mwenye kuweza kilunisaidia naomba kupata mawasiliano ama kukutana na Jimmy...
Wakubwa kwa wale wenzangu wwpenzi wa lingala hivi kati ya hawa watu ferre gola(chetani,chair de poule na fally ipupa (dicarp la maveirle) nani anamkanyaga mwenzake kimziki.
Wadau kuna huyu kijana anajiita BEKA IBROZAMA namkumbuka alikua THT na akina Barnaba na Amini na alihit sana na wimbo wa Natumaini baadae akatoa nyingine zikafanya vzr piaa ila ghafla ckumckia...
Mimi na studio yangu tumeitwa majipu na kutukanwa sana kwenye mitandao ya jamii baada ya Mr. Blue kutoa tamko lake. Hili hapa ni tamko rasmi kutoka kwetu kwa kupitia @bongofive. cc...
Lemonade From Beyonce..
Hii album nimepata jana,, iko pouwa sanaa...
Naona huyu mwanamama kama ana mpa jamaa (Jay Z) warning fulani hivi..
Kwenye wimbo huu unaitwa Don't hurt...
Ndugu wana jf naomba kama kuna mtu anakitabu cha ile hadithi maarufu ya Willi Gamba na mwana dada Tausi aniuzie,nina kihitaji sana na nilikisoma takribani miaka 19 iliyopita.
Huyu jamaa kamfunika hadi Adele mwenyew, naomba hilo nikiri kabisa.
Hii hatari sasa, khaaaa.
Hangaiki kuimba kabisaa. Akikaa vizuri kimuziki huyu Jamaa ni level za Kina Mozart, Nina Simone na...
Hi kwa sana wana JF
Naomba msaada kwenu nilikuwa nahitaji link ambayo naweza kuupata wimbo wa zilipendwa au mwenye nao wa "teddy wana Zanzibar" uliopigwa na bendi ya DDC mlimani park okestra...
Watoto nchini Uganda wametengeneza video wakicheza nyimbo maarufu “Sorry” ya msanii Justin Bieber. Mwimbo huu umekuwa maarufu sana dunia nzima na watu wengi wametengeneza video tofauti tofauti...
Sauti Sol (Kenya) and Alikiba (Tanzania) release UNCONDITIONALLY BAE, a danceable love ballad. In the song, Sauti Sol and Alikiba sing about the difficulty of finding love in the modern day world...
Steve Nyerere
MSANII wa filamu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ameshikilia bango la kutaka filamu za nje zizuiwe hapa nchini kwa kuamini kuwa, soko la filamu za Kibongo litazidi kutanuka na...
MENEJA Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa (Tanapa), Pascal Shelutete, amesema wasanii wa filamu nchini wanatakiwa kutumia mandhari za asili zilizoko katika hifadhi za Taifa kwa ajili ya kurekodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.