Nimeipenda hii tamthiliya.....hapa ndipo napowakubali hawa wafilipino, inavutia , inakufanya ujisikie kama huko ndani yake,Kwa wale wapenzi wa hii tamthilia inayorushwa na star tv tukutane hapa kwa ufafanuzi nawasalisha.
Kinachouma jamaa ni kuzika mtu ambaye si mke wake hali ya kuwa mke yuko hospital, na jamaa anahudumia mke wa mtu hali ya kuwa mke wake ndie amefarikiKabisa mkuu hawa jamaa hawakosei hata kidogo..
Mkuu mke wake si ndo yule aliekuwa gerezani? Sasa sijaelewa aliwasaidia ki vp wale kuwatorosha gerezani? Mahusiano yao yapoje sijaichek kama vipande vi tatu hivKinachouma jamaa ni kuzika mtu ambaye si mke wake hali ya kuwa mke yuko hospital, na jamaa anahudumia mke wa mtu hali ya kuwa mke wake ndie amefariki
Mimi mwenye nimeibaka njiani, ila nilichoelewa ni Kuna mchezo unafanywa Sasha anayemtaka yule mume wa Rousie..., lile shambulizi la mlipuko wa bomu lilimlenga huyu rousie na si yule mwanasheria....Mkuu mke wake si ndo yule aliekuwa gerezani? Sasa sijaelewa aliwasaidia ki vp wale kuwatorosha gerezani? Mahusiano yao yapoje sijaichek kama vipande vi tatu hiv
Bibi wa lawyer ndo amegundua rose sio mjukuu wake baada ya rose mwenyewe kumwambia ukweli....wakakubaliana ili wawajue wauaji lazima rose avae hiyo hiyo sura ya lawyer ila rose akakataa...bibi alivo mjanja akatafuta picha ya mumewe rose akiwa na sasha kimapenzi akamletea rose ili kumuaminisha kuwa ni kweli wale watu ni wapenzi...hapo rose akakubali kuuvaa uhusika wa lawyer....