Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mbunge wa mbeya mjini na mkongwe wa muziki wa hip hop bongo Sugu a. K. a Mr II hivi karibu aliiachia wimbo wake mpya audio pamoja na video ujulikanao kama FREEDOM' Baada ya kuwa ahidi...
3 Reactions
141 Replies
23K Views
habari za sasa wana JF. Mimi ni kijana mwenzenu, nahitaji msaada kwa mlioko katika section za production katika tasnia ya filamu Tanzania, nahitaji kujifunza sana kuhusiana na filamu katika...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Rapa Nay wa Mitego baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Shika Adabu Yako’, Jumatatu ijayo anatarajia kuachia ngoma mpya na kali iitwao ‘Saka Hela’. Akizungumza hivi karibuni, Nay amesema mara nyingi...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani. naomba kwa mara nyingine kwa alie na details na Linah na shida na number yake...thanks... It's for personal issue.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nakumbuka Miaka ya Mwishoni Mwishoni mwa 90 na Mwanzoni Mwa 2000 kuna mzee mmoja alikuwa ana bamba sana na kibao hiko aliku Mwembamba Mweusi na nimrefu kile kibao nimekitafuta iatandaoni lakini...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Uzi huu kuhusuiana na la tempestad,tutakua tunajadili mwenendo wa tamthilia yetu pendwa ambayo inahusisha wakali kama Captain Damián Fabré, Marina Reverté Artigas de Fabré,Magdalena Reverté...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Niko hapa tcc club kwenye pambano, kinachofanyila getini Ni wizi WA mchana. Watu wengi wanalipa na hawapewi tickets, sisi ambao tumekuja kuzisaidia hizi bendi kongwe, nimekatishwa tamaa siji tena
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ulikuwa wapi enzi zao na ulikuwa na miaka mingapi?....
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Kuna wimbo mmoja wa Papa Wemba kaimba kwa kiswahili nautafuta youtube siuoni kuna anaejua any link? nimeona Azam Two wameuonesha kwenye taarifa zao
3 Reactions
38 Replies
12K Views
Msaada wenu tafadhali nimeutafuta wimbo huu bila ya mafanikio sehemu ya wimbo huo ina maneno yasemayo"HATA DINI UMEBADILI, SUPU UMETIA NAZI LADHA YA SUPU NI CHUMVI NDIMU NA PULIPILI TU" Ameimba...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Jaman wakuu kwa jamvi hili naleta uzi hata kama hauna maana yoyote kwako, lakn ningependa kumfahamu msanii aliyeuimba wimbo wenye maneno kama title nilonge nisilonge,... longaaaa. mpenzi wangu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuuu naomben hii link ilyowekwa na member wa humu link ya wimbo wa baba paroko ============== usser Ingia kwenye hii LiNK hapa Chini Baba Paroko
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Na apumzike kwa amani. RIP Sai Sai Kaokokokorobo Yolele Show me the way
0 Reactions
0 Replies
878 Views
VideoMPYA: Tiwa Savage ft Dr. Sid 'If I start to talk' imeachiwa:
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Kati ya filamu bora zilizowah kutokea dunian, itafute
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kwenye maisha ya uswahilini na pwani huwa kuna kashda za pwani kwa namna hyo basi hapa nazungumzia pwani kwa ujumla maneno ya waswahili wa pwani hunikosha sana na huwa kuntu tena pambee tena...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Si ajabu miaka ya nyuma tulikua tunapiga hatua katika bongo movie kuliko sasa !! Eb wangapi wameshazitema hizi movie za hapa kwetu na kuanza Kuangalia za nje?? Na kwann sasa?? Je zamani movie za...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Mahojiano kati ya saleh ally wa gazeti la champion toleo la 9/10/2013 na mkurugenzi mtendaji wa Azam Media mr Rhys Torrington Salehe ally (swali lini mnaanza) mkurugenzi- kwasasa tumeingia...
1 Reactions
47 Replies
10K Views
See them fighting for power But they know not the hour So they bribing with their guns, spare-parts and money, Trying to belittle our Integrity now. They say what we know Is just what they teach...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom