SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,030
Mcc ilikuwa movie fup na tamu ikaisha mapema kwa majibu mazuri kuwa hatutereki,ikaja movie lugumi,ikatokea movie ambayo haikufanya vizuri ya watu Fulani kuwatetea wanaotumbuliwa,movie ya dau ikafatiliwa lakini movie ya lugumi ikafunika ,movie sukari sijui itafika wapi