Wimbo wa nzige- chumba cha mtihani

Wimbo wa nzige- chumba cha mtihani

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,662
Habari zenu wana JamiiForums,

Kama kuna mtu alishawahi kuusikiliza au kuuona wimbo wa nzige unoitwa chumba cha mtihani namuomba akoment baadhi ya mashairi yaliyopo kwenye wimbo huo .

Verse 1:
Kwenye chumba cha mtihani;
Mikono inasweti ahaa
ebu na wewe endelezea
 
Mara ya kwanza kuiona nlipasuka kwa kicheko,nlinikumbusha enzi zile st kayumba wale vilaza hasa kwenye mtihani wa math..Mhh!
 
Jaman Tin white sio kwa peni zile mweh,huwaga nacheka mpka basi,yule aliemkopia mwenzie ameniacha hoi sana pale mwenzie anapokata majibu yani kakosea ye anashangaa na kashayajaza kwake.
 
Hahahaha humo kwenye video kuna wanywa viroba darasani wengine ni kuhalisha halisha tu hovyo mixer rushwa napenda sana video yake
 
full mastaa wa bongo...! et peni nyingi lakini haziandiki zote.viroba na mwendo wa chabo.

plz ticha may i go toilet..' choon kuna mlinz
 
Ndani ya chumba cha mtihani,mikono inasweti
Akuna k2 kichwani yote nimeforget,ahed yamevaporate
Nahs kichwa kimekuwa kzto, kama nimevaa helement
.
Homa inapanda na kushuka
Nachokiona kimenuka
Maswali meng nimeruka
 
Back
Top Bottom