Mjadala: Tatizo siyo Chura wala Snura!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,739
40,864
Mjadala wa Wikienda: Tatizo siyo chura wala Snura; tatizo ni sisi wazazi. Wazazi watawajibishwa vipi?

13164188_10153563662306156_4823754544262568812_n.jpg

Mbona kuna vitu vingi sana ambavyo vingine vinakera zaidi ya hili la chura; na wazazi wanashabikia
 
daa chura kachukua akili za watu sana kila kona chura chura hvi watu wamechanganyikiwa na nn kwa huyu chura
 
Mtatusinginzia sisi wazazi lakini tatizo ni ajira/kazi/uchumi/pesa wangekuwa na kipato hao watu wasingekubali kugeuka chura na kucheza hivyo.
 
Mjadala wa Wikienda: Tatizo siyo chura wala Snura; tatizo ni sisi wazazi. Wazazi watawajibishwa vipi?

13164188_10153563662306156_4823754544262568812_n.jpg

Mbona kuna vitu vingi sana ambavyo vingine vinakera zaidi ya hili la chura; na wazazi wanashabikia

Pamoja na hayo Serikali ina jukumu pia, haiwezi (Serikali) kukaa kimya kwa kuwa tu wazazi hawajatimiza wajibu wao!
 
Utandawazi umekuja na mengi..Malezi ya watoto yamekuwa na changamoto nyingi sana..Kikubwa ni kumpa mtoto mwongozo sahihi mapema kabisa ili awe anafanya maamuzi sahihi mwenyewe na sio kuamuliwa na watu...

Leo hata ukimkataza kuangalia baadhi ya vitu kwenye tv atakutana navyo mtaani tu..mana ndo maisha yetu ya kila siku..Uraiani kwenye vigodoro watu wanacheza hadi uchi na watoto wanaangalia tu..

Kuona kitu sio shida..Tatizo ni maamuzi utakayoyachuka baada ya kuona kitu hicho..Ingekuwa kila kitu kibaya anachoona mtu kinambadilisha basi duniani kungekuwa tafarani..
 
Tatizo Chura alicheza pale Dodoma kwa waheshimiwa,wameenda zao kupata starehe ghafla wanamuona Chura.
 
Haya sio mapya nchini kwani nani hajui yanayoendelea ktk vigodoro kila usiku na wazazi na watoto wanacheck, huu ni utamadun wa watu wa pwani na unapaswa kuheshimiwa ni kama kwa sisi wakurya tukicheza ngoma zetu tunatingisha vichwa na kurukaruka sasa na hao waheshimiwe kwa kucheza hivyo
 
Mi kwangu najenga ukuta mrefu sana TV ntaicontrol mwenyew sitaki mwanangu ajichanganye na hwa watoto was uswahilin ni hatar sana
 
Mjadala wa Wikienda: Tatizo siyo chura wala Snura; tatizo ni sisi wazazi. Wazazi watawajibishwa vipi?

Mbona kuna vitu vingi sana ambavyo vingine vinakera zaidi ya hili la chura; na wazazi wanashabikia
Huu uzi utauchangia mwenyewe maana watu humu wameshaanza kukupotezea
 
Back
Top Bottom