Sholo mwamba: We Mama Achia body.....!!!!

Achana na sholo mwamba,sasa kuna muhuni mwingine huyo wa kuitwa Man Fongo!
Anakwambia,"poa we nukia pafyum,mi nanuka kwapa".
Pooole pole,hauna
Pole tena,hauna
Bruuukua,wahuni wanataka tena!

YNWA
Hauna noma nnayo
 
Achana na sholo mwamba,sasa kuna muhuni mwingine huyo wa kuitwa Man Fongo!
Anakwambia,"poa we nukia pafyum,mi nanuka kwapa".
Pooole pole,hauna
Pole tena,hauna
Bruuukua,wahuni wanataka tena!

YNWA
Buti kama hii hauna
 
Daaah
Disco za kiswaz hzo, ila kucheza kihvo lazma uwe umekunywa kdogo nadhan c hvi hvi
 
Back
Top Bottom