Hivi kuna album bora zaidi ya hii..?

Hivi kuna album bora zaidi ya hii..?

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Wenge BCBG mwaka 1999 walitoa album yao inayoitwa TITANIC yenye nyimbo kumi,hakika labum hii kwangu mimi ndio album bora ya rumba kewahi kutokea.Kila wimbi utakaousikiliza hutamani uishe zaidi utarudia tena na tena..mpaka leo sichoki kusikiliza hii album.

Wale wapenzi wa rumba mtakubaliana na mimi kwamba album hii ni moto wa kuotea mbali.hebu angalia list ya nyimbo kwenye hiyo album na watunzi wake:

1.Titanic
(Wenge BCBG & Roberto)
2.R.D.C
(JB Mpiana)
3.Barakuda
(Alain Makaba Prince)
4.Omba
(JB Mpiana)
5.Proces Mambika
(Alain Mpela Afande)
6.Likala moto
(Blaise Bula)
7.Tour eifel-
8.Champion Kapangala
(JB Mpiana)
9.Liberation
(Aimelia Lias)
10.Serge palmi
(Burkina Faso Kasongo)
 
sawa mkuu,hii ni kwako,kwangu mimi kabla ya hawa WENGE BCBG chini ya Jb Mpiana kutengana na WENGE WERRASON chini ya NGIAMA MAKANDA NOEL WERRASON kutoka kundi waliloita WENGE MUSICA-ALBAM Yao ya PENTAGON kwangu ndio naonaga THE BEST of OLD TIMES ikisheheni jumla ya vibao 11 kama sikosei vikiwepo PENTAGON, FILANDU na vingine ving vizuri.
 
mwanzoni kabla Werrason hajajitoa kundi lilikuwa linaitwa Wenge Musica BCBG,na hata Werrason alipojitoa imeendelea kuitwa hivyo ila Werrason alianzisha Wenge Music(Esprit ya Bien).

Baada ya werrason kujitoa tu Wenge BCBG;Wenge BCBG chini ya JB Mpiana ndio wakaja na hiyo album ya Titanic ambayo ni my best album.Wenge Music chini ya Werrason wakaja na album yao iliyoitwa FORCE D'INTERVENTION RAPIDE wakimaanisha kwa wao ni baot ya uokoaji walikuja kuwaokoa Wenge waliokuwa wanazama ndani ya Titanic...ushindani ulikuwa mkubwa sana.

Ndani ya album hiyo ya Wenge Music chini ya Werrason ilikuwa na nyimbo zifuatazo;

1.Intervention Rapide
2.Chantal
3.Kalayi boeing
4.Verset oublier
5.Thethe tumba
6.Mission impossible
7.Fredy movadi
8.P.O.G Makambo
9.Likelemba
10.Opherlin
 
V12 kofii olomide,,,, sijawahi ona tena.

naomba uisikilize album ya Titanic halafu utakuja kuniambia mkuu,Koffi olomide album yake bora ni ya LOI Ilikuwa na nyimbo kumi

1.Loi
2.Itineraire
3.SOS
4.phaseur
5.Papito chatme
6.Mokuwa
7.Airways
8.Motomolo
9.Vicky
10.Micko

zaidi ya hapo album zake huwa ni nzuri lakini haziifikii hii
 
Hapa naona maluweluwe tu! Mi nilidhan album za bongn hiphop ningetaja propaganda ya fareed
 
Kwangu mi kuna albam inaitwa loi(lwa) ya koffi akiwemo suzuki.......
 
Kwangu mi kuna albam inaitwa loi(lwa) ya koffi akiwemo suzuki.......

ni moja ya album nzuri na ilipendwa sana wakati ule,ila katika album hiyo kuna nyimbo nne tu kati ya kumi ambazo hunivutia zaidi.
 
aisee sijui album ya Awilo inaitwaje ila namkubali sina
 
mkuu nakapanya ule wimbo ambao werason na timu yake wako ufukweni wanawaokoa watu waliozama nadhani ndo unaitwa "intervantion rapide" unanikosha sana

mwanzoni kabla Werrason hajajitoa kundi lilikuwa linaitwa Wenge Musica BCBG,na hata Werrason alipojitoa imeendelea kuitwa hivyo ila Werrason alianzisha Wenge Music(Esprit ya Bien).

Baada ya werrason kujitoa tu Wenge BCBG;Wenge BCBG chini ya JB Mpiana ndio wakaja na hiyo album ya Titanic ambayo ni my best album.Wenge Music chini ya Werrason wakaja na album yao iliyoitwa FORCE D'INTERVENTION RAPIDE wakimaanisha kwa wao ni baot ya uokoaji walikuja kuwaokoa Wenge waliokuwa wanazama ndani ya Titanic...ushindani ulikuwa mkubwa sana.

Ndani ya album hiyo ya Wenge Music chini ya Werrason ilikuwa na nyimbo zifuatazo;

1.Intervention Rapide
2.Chantal
3.Kalayi boeing
4.Verset oublier
5.Thethe tumba
6.Mission impossible
7.Fredy movadi
8.P.O.G Makambo
9.Likelemba
10.Opherlin
 
naomba uisikilize album ya Titanic halafu utakuja kuniambia mkuu,Koffi olomide album yake bora ni ya LOI Ilikuwa na nyimbo kumi

1.Loi
2.Itineraire
3.SOS
4.phaseur
5.Papito chatme
6.Mokuwa
7.Airways
8.Motomolo
9.Vicky
10.Micko

zaidi ya hapo album zake huwa ni nzuri lakini haziifikii hii

Hiyo albam ni nzuri lakini unapozungumzia rhumba ya ukweli v12 ni best of the best vibao vyake ni;
1. Andrada
2. parking ya baba
3. chantou
4. foutta djallon
5. Etat civil
6. Dossier do jour
7. Aspirine
8. Nouveau testament
9. Bambino
10. Miss toutsi
11. Zokere
Suzuki alikuwemo humu ndani bila kusahau dansa kama miette shegue, zina bilawu!!!!!!!! ukipata mda isikilize uje kutupa majibu hapa.
 
Naunga mkono hoja tinna cute
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom