Kuna madai ya kuwa album haziuziki au hazina biashara nzuri kwa wasanii wa Bongo flava, hivyo imepelekea wengi wao kutegemea shows na biashara zao binafsi.
Mwezi uliopita nchini Kenya, jamaa...
nahangaika sana kuitafuta hii series ya mwaka 2006 brothers and sisters kila napotafuta torrents zake nakuta zero seed na zero leech najaribu ku download kutumia appl za kudownload torrent siku...
Diamond Platnumz amemaliza ziara yake ya Ulaya aliyoipa jina, From Tandale to The World Tour iliyompeleka kwenye nchi takriban nane.
Show yake ya mwisho ilifanyika Jumamosi hii jijini Copenhagen...
Nimegundua wanamuziki wengi wa kiume huvaa nguo za heshima na sometimes hata suti wakati wanafanya muziki,tofauti na wanamuziki wa kike ambao wengi wao huvaa nguo fupi,nyepesi au zinazoonyesha...
T.I katika ubora wake.
1. What you know
2. Got your back ft. Keri Hilson
3. Get back up ft. Chris Brown
4. Dead and gone ft Justine Timberlake
5. Whatever you like
6. Hallelujah
T.I. -...
Hatimae ule usemi wa hutakiwi kutumia hasira umetimia mida hii hapa Mbangala. EFM wamewatangaza rasm watangazaji waliokuwa wa clouds kama majembe mapya ya EFM. PJ, Onesmo na Hando wote wametua...
GR CITY HOTEL presents FRIENDS & LOVERS NIGHT ikiambatana na show kabambe kutoka kwa MESHAMAZING,ANNOMELODY,ZAX4REAL& GOLIATH With special appearance ya MC PILIPILI.Kiingilio ni 5000 kwa Gents na...
Pamoja na kuwa tumekuwa tukimshuhudia Diamond Platnumz akitangaza kolabo na wasanii wa kutoka Marekani lakini hakuna hata moja tuliyoona hata cover yake, mwaka jana rais wa awamu ya nne, Jakaya...
Nimekua nikijiuliza kati ya wasanii wa bongomovie yupi ambae yupo serious na kazi yake na anaweza kuiwakilisha Tanzania nje ya mipaka ya bongo hata akafuata nyayo za Kanumba!! In short nani...
Ndugu zangu Wanajamvi,
Salaam!
Napenda kuchukua nafasi hii kutoa ushauri kwa huyu Dada mwanamziki, na kwa wale wote wanaopenda au kutamani kuwa na maisha kama yake.
Ndugu zangu, mara nyingi...
Ninapoongelea UB40 hapana shaka kwa wewe mpenzi wa burudani ya Muziki utakua unajua anwaongelea wakina nani. Kwa namna moja ama nyingine utakua umekwisha kusikia kibao kama vile “Red Red Wine, I...
Nimekuwa nikiitafuta kwa mda mrefu sana nyimbo ya Vibration Sound ikiitwa mwewe bila mafanikio, naamini hapa wana jamvi mwaweza nisaidia naomba msaada wenu wakuu.....naipenda sana iyo nyimbo...asante.
Katika Tasnia ya muziki je, unawakumbuka hawa na nafasi walizokuwa wana-play????
1. LOKASA YA MBONGO
2. NGOUMA LOKITO
3.DALLY KIMOKO
3. BILEKU MPASI
4. DIBLO DIBALA
5. MOBILO
6. KANDA...
Hii tamthilia ni nzuri aisee, hivi Kwa nini Filipino wanajua sana kutengeneza tamthilia, Wanawaigizaji wazuri,story nzuri,color usisema,pamoja NA mtiririko wa visa NA matukio.Wabongo tungekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.