Video: Charlie Puth

mnyaga1

Senior Member
Sep 24, 2014
184
101
Huyu anaitwa Charlie Puth mara ya kwanza nilimsikia kwenye wimbo wa Wiz Khalifa_see u again... ndo aliteimba ile chorus.. saiv ana album yake inaitwa Nine Track Mind... yuko vizur sana na ana sauti matata sana..


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom