Trap music

MIGUGO

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,136
3,924
Somebody tell me about trap music.Siku hiz naskiaga Kuna aina ya mziki trap music.Najua kidogo Tu Kama trap soul,trap rap,edm, na style Yao ya kuimba Kama turn twister.

Wasanii Kama future,Fetty wap,desiigner,ty dollar sign,juicy j.Na Kuna swagg ya DABBING.

Age imenitupa kufatilia ujana huu lakin trap culture imeniknock.Somebody tell us more.
 
Trap music kwa uelewa wangu naona ni jamii moja na ile iliyokuwa inaitwa Crunk waliyokuwa wanafanya Dem Franchize Boys , Dj Unk na baadhi ya wengine.

Hii Trap imetofautiana midundo na crunk kwa kiasi fulani ingawa naona ni kama muziki mmoja tofauti sana na west coast rap/hip hop ya kina Dre na vijana wake au ya east coast.

Binafsi nimesikiliza aina Hii ya muziki lakini naona inachosha ukisikiliza nyimbo kadhaa maana beats ni kama zilezile tu tofauti na aina nyingine ya rap.
 
Back
Top Bottom