donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Sio siri wakuu, hii nyimbo inanipeleka mbali sana kihisia kila nikiisikiliza. Ni lazima tukumbuke kusema asante kwa Mungu, whether tumepata au tumekosa. Kwa maana being alive itself ni jambo la kumshukuru sana Mungu.