Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Somebody tell me about trap music.Siku hiz naskiaga Kuna aina ya mziki trap music.Najua kidogo Tu Kama trap soul,trap rap,edm, na style Yao ya kuimba Kama turn twister. Wasanii Kama future,Fetty...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana JamiiForums, Kama kuna mtu alishawahi kuusikiliza au kuuona wimbo wa nzige unoitwa chumba cha mtihani namuomba akoment baadhi ya mashairi yaliyopo kwenye wimbo huo . Verse 1...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Wenge BCBG mwaka 1999 walitoa album yao inayoitwa TITANIC yenye nyimbo kumi,hakika labum hii kwangu mimi ndio album bora ya rumba kewahi kutokea.Kila wimbi utakaousikiliza hutamani uishe zaidi...
3 Reactions
84 Replies
19K Views
Je unapenda kuwa mwanamziki Tanzania timiza ndoto yako? Habari za Jioni waungwana, Baada ya utafiti usio rasmi kwa hapa Tanzania, hasa hasa jiji la Dar es salaam, kuna vijana wengi sana wakike...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimesikiliza miziki/nyimbo zao nikagundua hawa jamaa walikuwa wakali sana. Franco Luambo Makiadi akiwa na TP OK JAZZ alirekodi miziki mingi iliyotamba si Africa tu bali mpaka bara ulaya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo imetangaza kuwachukulia hatua kali za kisheria wasanii ambao watakiuka agizo la kufanya video za muziki na kuzitoa bila kukaguliwa na Bodi ya Filamu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa hii tamthilia inayorushwa na star tv tukutane hapa kwa ufafanuzi nawasalisha.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau hebu leo tutoe ya moyoni kuhusu watangazaji wetu wa redio na televisheni.. Ni yupi anayekuboa zaidi kufikia hatua ya kubadilisha hata channel unapomsikia? Kwa upande wangu ni watangazaji...
1 Reactions
256 Replies
54K Views
Tasnia ya filamu Tanzania(Bongo Movie) inazidi kukua kwa kasi, si tu nyumbani hata nje ya nchi watanzania wanazidi kung’ara. Safari hii mtoto wa kitanzania aitwaye Evan Byarushengo amabahatika...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Wapenda burudani wa Arusha, nina kaugonjwa ka live band, kiwanja gani inapatikana
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kitukio la kufungiwa kwa wimbo wa chura kumeendelea kuonyesha ni kwa kiasi gani hili taifa wenye mamlaka wamekosa umakini ( watu wasio na uwezo) kwenye taasisi muhimu na sehemu mbali mbali za...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mjadala wa Wikienda: Tatizo siyo chura wala Snura; tatizo ni sisi wazazi. Wazazi watawajibishwa vipi? Mbona kuna vitu vingi sana ambavyo vingine vinakera zaidi ya hili la chura; na wazazi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Huyu anaitwa Charlie Puth mara ya kwanza nilimsikia kwenye wimbo wa Wiz Khalifa_see u again... ndo aliteimba ile chorus.. saiv ana album yake inaitwa Nine Track Mind... yuko vizur sana na ana...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nimepanda tena hapa JF nikiwa upande mmoja na upande huo siyo mwingine bali ni ule upande wa ile bongo flava ya P-FUNK MAJANI, MWIKA MWAMBA, MJ na wakali wote waliowahi kukipiga vyema katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Radio hii sio siri itachana mawimbi ujio wa hando na pj unaongeza nguvu kipind chao cha joto la asubuhi nakumbuka walivyokuwa wanasoma vuzur magazet na kudadisi yafaa sasa na magazet yawepo hapo...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Nikiwa kama mfuasi namba moja hapa Tanzania kama siyo Afrika ya Mashariki wa Bendi ya Wenge Musica BCBG inayoongozwa na Bingwa au Fundi au Mtaalam mwenyewe Kiongozi Jean Bedele Tshituka Mpiana...
1 Reactions
2 Replies
990 Views
Jumatatu ya tarehe 2 May ndio utambulisho rasmi wa magwiji wa vipindi vya asubuhi redioni Gerrard Hando aka Mzee Mkuda na Paul James aka PJ wakiwa ndani ya kituo kipya cha E.FM 93.7 Unadhani kati...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ebwana wanaJF Mzuka! Sikufaham kabisa huu wimbo wa Wake up Papa Wemba fet Kofi Olomide. Nimeusikiza Leo mara nying Youtube. Ni wimbo mzur sana. Cha kushangaza hauna promo hata viewers na likes Ni...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
There's a day of feasting and a day of famine Day of sadness and a day of joy You could see in the day of feasting Life isn't just a little play-like toy. So the day arrived when you least...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JOSEPH KUSSAGA(kushoto) na RUGE MUTAHABA (kulia) (wadogooo) wakiwa na DJ MIND MOTION (katikati) wakati huo alikuwa ni NUMBER ONE DJ wa SAN FRANSISCO, hapo ilikuwa ni MAREKANI mwaka 1998...
1 Reactions
8 Replies
11K Views
Back
Top Bottom