What life took for me

Mi nimeanzia katikat mkuu naipata kidogo ndo mana nkaomba tuipate vizur
Basi ungekuja na maelezo yaliyojitosheleza.
Halafu ungeipeleka jukwaa la entertainment ungepata wenzio wengi Sana.
 
Atauliwa au na huyu mwanamke mgonjwa aliemuoa anakufa?
Ndio atauwawa na huyo mayor! Ndio atakufa. Halafu alejandro atapata ajali ya ndege. So ataonekana amekufa. Monserat ataolewa na hosee ndio atapata mimba ya mtu wa kike. Then alejandro atarudi. Atarudiana na monserat.
 
Thank sna leo tena ipo ngoja nisubili.
 
Alejandro ananiboa anavyo jidai kumkazia monserat yaani siku akienda kumwana mwanae sijui itakuwaje!!!
Ni tamthilia inayo nifanya kuipotezea taarifa ya habari now days
 
mi mwenyewe ananikera sana anavokaza na maria kakomaa balaa
 
Ndio atauwawa na huyo mayor! Ndio atakufa. Halafu alejandro atapata ajali ya ndege. So ataonekana amekufa. Monserat ataolewa na hosee ndio atapata mimba ya mtu wa kike. Then alejandro atarudi. Atarudiana na monserat.
Jose Luis alikuwa mbaya sana kipindi cha mwisho, yani pamoja na kwamba alikufa akiokoa watoto lakini tulipumua kidogo baada ya kifo chake
 
Back
Top Bottom