Vibao vzake hivi viwili vilikuwa nalaa
Prince Rogers Nelson, was an American singer, songwriter, multi-instrumentalist, record producer, and actor. Prince was renowned as an innovator...
Ni kibao Wenze Ya Mizemba,wewe kama ni shabiki au mlevi wa bolingo laini basi ukiusikiliza au kuangalia video yao hawa jamaa wanavyobadirishana verse,pozi na madada walio na miguu saaaaafi...
https://soundcloud.com/johnbruddatz/hunter-classic-wathamanii
HIYO NI LINK YA NYIMBO ZANGU,
NIMEKUA NIKIFANYA MUZIKI KWA MIAKA KADHAA KWASABABU NAPENDA MUZIKI NA NATAMBUA NINAKIPAJI CHA UTUNZI NA...
Wadau hii movie niliangalia zamani ila siikumbuki jina.
Kuna dogo Wa kiume alipotea porini na kule porini kulikuwa na dubu mmoja ndio alikuwa anamlinda. Baadae alikuja kuokolewa na helicopter...
Wadau mimi sipondi ila bongo tunahitaji nguvu ya ziada ili kufika hivi viwango.
Huyu dada ni Muisrael anaitwa Rudi Bainesay.
Anaimba hadi hatari, kawafunika wenye hizi nyimbo
Natural Woman by...
Kuna filamu ya kitambo sana, jina limenitoka naitafuta!
Jinsi ilivyo:
Ni comedy ya jamaa anapanda mbegu ya mti na baada ya muda ule mti unakuwa mrefu zaidi hadi mawinguni, napo mawinguni kuna...
TV1 inakuja kwa kasi
Nimependa kipindi chao kipya cha BOYS BOYS kinachoendeshwa na Mwisho Mwampamba.
Mpangilio wa studio, mada zao, host yuko charming , fun & on topic.
Wana min bar na vinywaji...
Gb 20...kwa Tsh. 10,000
Including latest Gods of egypt, bloodpool, southpark (cartoonseries), kungfu panda 3...!
nakuwekea kwenye external hard drive au kwenye dvd.
Piga: 0655-659-115...
1. I'll keep loving you- David Guetta ft Birdy & Jaymes Young
2. Ella Henderson- Yours
3. Jealous- Labrinth
4. Paradise- Cold Play
5. Olly Murs- Kiss me
CC: MGuccI
MWIGIZAJI wa filamu na msanii wa Bongo Fleva, Hemed Suleiman ‘Hemedy PhD’, amesema kwamba hataacha kutumia vipodozi kwa kuwa humuweka nadhifu na humwongezea mvuto wa mwili wake.
Hemed anayetamba...
Taarabu ulikuwa muziki wa mwambao wenye mahadhi tulivu na yenye kuburudisha mno ,hata mashairi yake yalibeba mafumbo ya kweli aingia mipasho matusi na kejeli za wazi.
Tangu hapo taarabu ikapoteza...
1.Airplanes ft Hayley williams of paramore 8 Eminem
2.Magic ft Rivers Cuomo
3. So good
4. No man's land
5. Lovelier than you
6. Nothing on you baby
B.O.B Ft. Bruno Mars - Nothing On You...
Kuna madai ya kuwa album haziuziki au hazina biashara nzuri kwa wasanii wa Bongo flava, hivyo imepelekea wengi wao kutegemea shows na biashara zao binafsi.
Mwezi uliopita nchini Kenya, jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.