mwlm idara ya secondar; kwa yeyote anayehitaji kuja halmashaur ya bunda (mara), mie nije iringa au moro.
4N NO_0785914538.
 
nipo iringa manispaa, idara ya secondary,naomba mwalimu wa kubadilishana kutoka dar. Ntakuachia nyumba ninayoishi.
 
kuna mtu yupo ilala manispaa anataka kuamia temeke manispaa namba yake ni

0753775599
 
mwalim idara ya sec niko mbulu- manyara.natafuta wakubadilishana nae kutoka kilimanjaro wilaya ya moshi mjini,moshi vijijini,siha,hai,rombo au mwanga
mawasiliano
0786080860 au0755726994
 
samahani. kuna mtu yupo temeke anataka kuamia ilala manispaa
0753775599, hapo juu nimeandika.kinyume
 
Walimu idara ya msingi ulanga morogoro nahitaji kwenda kilosa morogoro sihitaji kulima mpunga kama unahitaji kulima mpunga, maharage na ufuta. Tuwasiliane 0759873595 na 0717228242.
 
Mang'ola/karatu idara ya msingi anahitaji mtu wakubadilisha nae kituo cha kazi iwe mwanza wilaya yeyote isipokua ukerewe mawasiliano :0719218597
 
Jamani wale wa MASASI au KUSINI tubadilishane na mtu yeyote kutoka KILMANJARO,ARUSHA,MANYARA,TANGA AU SINGIDA. Namba yangu ni 0789585414 au 0766271254.Halafu watu tuwe sirious sio kudanganyana
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka vv kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
mimi mwalimu idara ya msingi nipo mkoa wa katavi wilaya ya mpanda natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kaxi aliyeko mkoa wa mbeya wilaya ya mbeya mjini au aliyeko manispaa ya ilala dar es salaam
 
Anayetaka kuja iringa wilaya ya kilolo sharti atokee bagamoyo, mkuranga,kibaha,temeke au ilala. Umeme maji lami vipo vinapatikana ndani ya kilolo piga. 0759282829
 
Wadau, anayehitaji kubadilishana kituo cha kazi Idara ya Sekondari.
Aje TANDAHIMBA-MTWARA mimi niende MANYARA au ARUSHA.

Namba: 0757 341 458
 
Back
Top Bottom